Kwaza kabisa nigaependa kuwasalimu wote wapenzi wa jukwaa hili.
Ni kipindi kirefu sana hatukutani humu, lakini hii ilitokana na mimi kuingia katika majukumu ya kiume; nilifanikiwa kupata mke na...
Wadau naombeni ufafanuzi huu.
Ikiwa mwanaume kasimamisha anaingiza uume kwa mwanamke baada ya dakika 5 anakojoa. Je, hii tuhesabu kwamba ana upungufu wa nguvu za kiume?
Na kwa matatizo kama haya...
Nasumbuliwa na tatizo la mishipa ya taya kubana pembezoni mwa masikio, mpaka kichwani kwenye utosi na kwenye kichogo. Hali inasababisha wakati wa kupiga mihayo nipate maumivu kwenye taya na muda...
Ufanyaji kazi wa uume unategemea ushirikiano wa vitu vinne katika usawaziko sawa; mfumo wa neva za fahamu, mfumo wa homoni, mfumo wa mishipa ya damu na mfumo wa akili na saikolojia.
Ili uume...
Habari, kuna mtoto amezaliwa mtaani kwetu, kwa bahati mbaya mama wa mtoto huyo haruhusiwi kumnyonyesha mwanaye kutokana na sababu za kiafya.
Je, anaruhusiwa kupewa maziwa ya ng'ombe au uji...
Nilianguka kwa bahati mbaya mfupa wa nyonga unacrack na pia unaminya mshipa wa damu unaoenda mguuni. Sasa nina wiki ya tatu maumivu yako pale pale hususani chini ya goti kwa nyuma. Naomba mwenye...
Wasalaaam.
Ni miezi 9 sasa toka nijifungue mtoto wangu. Sasa sijawahi kubleed kabisa. Na nimeishia Hofu nisije nikapata mimba jamani maana naendelea kukutana na mwenzangu kwa tendo la ndoa kila...
Habari za wakati huu,
Kuna mpendwa wangu (mama) kapatwa na tatizo la mfupa mdogo kuota kuelekea kwenye kiganja cha mguu, hali inayosababisha kupatwa na maumivu makali pindi anapotembea au...
Habari za saa hii hapa JF,
Naomba nisaidiwe kufahamu hiki kipindi ambacho mtu anakuwa katika upande wa amepata maambukuzi ya Virusi Vya Ukimwi lakini bado ule muda wa mwezi mmoja mpaka mitatu...
Ukiachilia mbali mambo ya imani, leo tuone athari za jambo hili japo kwa ufupi. Sehemu ya haja kubwa huwa na misuli miwili inayofanana na pete, kwa Kiingereza huitwa sphincters, labda kwa...
Mimi ni kijana wa miaka 23, kwa miezi kama 7 hivi nimekuwa nikishambuliwa na chunusi na upele usoni.
Upele wenyewe ni mkubwa na nikiuminya yanatoa usaha. Nimejaribu kutumia sabuni na mafuta aina...
Habari za leo
kwanza kabisa nipongeze jitihada za dhati zinazofanyika kuondosha na malaria pamoja na magonjwa yanayotokana na Mbu
katika safari zangu hivi karibuni nimesikia habari ambayo...
Habari ndugu zangu, kiuandishi sipo vizuri sana.
Ninamtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, amenyonya maziwa ya mama yake kwa muda wa miezi 4, baada ya hapo akaanza kutumia maziwa ya dukani...
Wakuu leo nimekunywa Mo Extra ila nashangaa mapigo ya moyo yanapiga sana mpaka sasa hivi, nimekunywa kama masaa 4 yaliyopita. Ila mpaka sasa yanapiga sio full time, ni kwamba moyo unapiga normal...