BH99
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 149
- 332
Habari ndugu zangu, kiuandishi sipo vizuri sana.
Ninamtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja, amenyonya maziwa ya mama yake kwa muda wa miezi 4, baada ya hapo akaanza kutumia maziwa ya dukani. Kiafya yupo vizuri.
Tatizo alilonalo ni kwamba mwezi mmoja uliopita alikuwa ameanza kutembea hatua kadhaa lakini wiki mbili zilizopita kaacha kutembea anasimamia vitu.
Naombeni msaada wenu tatizo ni nini? Au ni hali ya kawaida?