Naomba msaada wa dawa ya kutibu mfupa wa nyonga

meelathe done

New Member
Nov 18, 2019
1
0
Nilianguka kwa bahati mbaya mfupa wa nyonga unacrack na pia unaminya mshipa wa damu unaoenda mguuni. Sasa nina wiki ya tatu maumivu yako pale pale hususani chini ya goti kwa nyuma. Naomba mwenye kujua dawa anisaidie, kwani dawa nilizoandikiwa hazinisaidii.
 
Back
Top Bottom