BY Dk.Shita Samwel, Mwananchi
Kila inapofika Desemba mosi ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya Ukimwi Duniani.
Siku hii iliadhimishwa wiki mbili zilizopita kwa wadau kutoa elimu ya mambo...
Habari wa dau,
Naomba wataalamu mnijuze chanzo cha kizunguzungu cha mara kwa mara kwa mama mjamzito, mke wangu anasumbuliwa mara kwa mara na hali hii, ana ujauzito wa miezi takribani sita...
Mwenye anayejua tiba ya prostatitis (prostate bacteria information)
Kwa kutumia mitishamba
Ningependa waliotumia wakapona au mtu anayejua mtu aliyepona iyo dawa wachangie mawazo kuliko wauzaji...
http://woked.co/women-dna-man-made-love/
Kwa kiswahili ni hivi
Kuna cells(DNA) zimekua zikionekana kwenye ubongo wa wanawake ambazo hazitokani kwa baba zao jambo ambalo wanasayansi wakawa...
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au...
Kuna hali fulani inakera aise, yaani unakuwa unahisi koo kukauka muda wote kiasi kwamba hata ukinywa maji ni Kama hayajapita kooni kabisa!
Wakuu hivi hali hii inasababishwa na nini hasa?
Na ni...
Waungwana nipo kwenye dozi, natumia PEP baada ya kuwa exposed na mazingira hatarishi ya maambukizi.
Kawaida nakunywa vidonge hivi mida ya saa nne usiku na leo nina siku ya 8 tangu nizianze.
Jana...
Sorry wakuu naulizaje eti kuna kipimo kinachopima Ukimwi kwa muda mfupi toka mtu atoke kufanya tendo la ndoa hatarishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Za Mchana Waatu Wa Mungu!
Naomba Nifupishe Swali Langu
Kinamama Hivi Nikweli Mwanamke Anaweza Beba Ujauzito Mwingine Baada Ya Kujifungua Ndani Ya Mwezi M1 Akikutana Na Mwanaume?
Samahan...
Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture
Na hiki cha chini ni cha 2019
Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini...
Haya sasa wale Wanaume mliokuwa mnatucheka Sisi wenzenu tunaokula ' Viepe / Chips ' kuwa ni ' nyoro nyoro ' na kwamba nyie mnaokula ' Ugali / Nguna ' ndiyo ' Mashababi ' na mna Nguvu ni kwamba '...
Amani iwe nanyi wakuu!
Ni kawaida sana kwa kijana hasa wa kiume, (sijui kwa wa kike maana mimi ni wa kiume) kuota unafanya mapenzi na binti au mwanamke fulani hususani yule umpendae katika jamii...
Kwa mama mzee hasa aliekaa na tatizo kwa muda mrefu, yupo mkoani naogopa kumsafirisha maana anaweza akaja huku halafu tiba ikashindikana, so nataka niulize kwanza kwa Dr mwenyewe anielezee kama...
Inakuaje pale MTU umeoa mwanamke au umeolewa na unazaa mtoto ambaye hafanani kabisa either na Baba au Mama... Aidha, pia kuna uhusiano gani na kuzaa mtoto ambaye huendani naye kama bwai na iwe...
Nilianza kama utani, najishika chuchu mara nashusha mkono, nikaanza kujisugua clit raha niliyoipata inatembea na mawazo yangu kila ninapovua nguo, iwe naoga au nalala, yaani nikijikuta nipo mtupu...
Kwanza poleni na majukumu, pili naomba msaada mnieleweshe.
Mke wangu alikuwa anaumwa tumbo (mjamzito) tukaenda hospital akafanyiwa vipimo tukaandikiwa dawa akanunue lakini tunajaribu kuuliza...
Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam.
Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana.
Anayejua...
Na Jane Mihanji
TATHMINI ya chanjo mpya ya Malaria iko katika hatua ya mwisho ya majaribio ambapo Oktoba mwaka huu, inatarajiwa kuingizwa sokoni. Hayo yalisemwa Dare s Salaam jana na Waziri...