Tumeandikiwa dawa lakini hatujui tatizo nini, hospitali wanaficha

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Kwanza poleni na majukumu, pili naomba msaada mnieleweshe.

Mke wangu alikuwa anaumwa tumbo (mjamzito) tukaenda hospital akafanyiwa vipimo tukaandikiwa dawa akanunue lakini tunajaribu kuuliza tatizo ni nini wanatuficha.

Wanasema kuna tukio hapo nyuma lilitokea na dawa ndio hizo hapo tuliandikiwa.

Linaweza kuwa tukio gani?

Dawa nilizoandikiwa:

1575853729398.jpeg


Shukrani.
 
mjamzito,maumivu makali ya tumbo,pv bleeding.
Mtaalamu alifahamishwa kuwa mkeo ni mjamzito na anatokwa damu chini?
Kipindi anaumwa tumbo kwa maumivu Makali na damu kidogo zilikua zinatoka ata kutembea ilikua shida ndipo tulipoenda hospital tukaandikiwa hizo dawa
 
Hospitali gani wanaandika kwenye karatasi za madaftari ya shilingi 300. Hilo tu linaninyima amani

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom