Tatizo la kizunguzungu kwa mama mjamzito

Tatizo la kizunguzungu kwa mama mjamzito

Ndala ndefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
237
Reaction score
42
Habari wa dau,

Naomba wataalamu mnijuze chanzo cha kizunguzungu cha mara kwa mara kwa mama mjamzito, mke wangu anasumbuliwa mara kwa mara na hali hii, ana ujauzito wa miezi takribani sita unakimbilia wa 7.

Mwenye kujua chanzo na tiba ya maradhi haya anijuze.

Nashukuru na mungu awabariki.
 
Kuna uwezekano ana presha ya kushuka au kisukari cha wajawazito aende akaonane na daktari kwa uchunguzi zaidi!
 
Back
Top Bottom