Natafuta daktari wa Fistula

masai dada

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
15,679
12,361
Kwa mama mzee hasa aliekaa na tatizo kwa muda mrefu, yupo mkoani naogopa kumsafirisha maana anaweza akaja huku halafu tiba ikashindikana, so nataka niulize kwanza kwa Dr mwenyewe anielezee kama inawezekana, hususani madaktari wa CCBRT.

Mwenye namba au info ya kumpata daktari pale CCBRT nipate kuuliza naomba namba au chochote kwa pm au hapa.

Asante
 
Back
Top Bottom