P Passed JF-Expert Member Dec 15, 2017 561 156 Dec 15, 2019 #1 Kifua changu nikibonyeza chote kinauma na usiku nikilala nikipumua kifua kinauma zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Kifua changu nikibonyeza chote kinauma na usiku nikilala nikipumua kifua kinauma zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,273 Dec 15, 2019 #2 Pima makohozi, nenda hospitali daktari asikilize kifua chako kwa stethoscope