Wanawake mjiangalie unapovua nguo hovyo unapata hii

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,399
6,077
Kwa kiswahili ni hivi

Kuna cells(DNA) zimekua zikionekana kwenye ubongo wa wanawake ambazo hazitokani kwa baba zao jambo ambalo wanasayansi wakawa wanafikiri labda ni kwasababu mtu alipata ujauzito wa mtoto wa kiume ukaharibika au sababu zinazofanana na hizo..!

Ikaja kugundulika kua si kweli, bali ni DNA zinazotokana na sperm za mwanaume, ambazo huwa hazipotei bali baadhi husafiri na kua sehemu ya DNA ya ubongo wa mwanake..!

Therefore mwanamke anaweza kua na tabia za aina fulani kwasababu tu ya wanaume aliokutana nao..amebeba DNA zao..!

This Hii ndo maana ya *aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye*. Sex among the things it does ni *soul ties*. Yaani unapata *muungano* na jamaa kama wa tanganyika na Zanzibar mnaunda “Tanzania” yenu. Kuna taabu leo tanganyika tunazo kwa sababu ya muungano. Na kuna taabu wanazo wazanzibar kwa sababu ya muungano.

Wanaziita *kero za muungano*. Sex outside marriage is not funny. It binds the two into one!!!Yaaani

Look at this part

Every male you absorb spermatazoa from becomes *a *living part of you for life.*

The women autopsied in this research study were elderly.

Some had been carrying the living male DNA inside them for well over 50 years.

Sperm is alive.

It is living cells.

When it is injected into you it swims and swims until it crashes headlong into a wall, and then it attaches and burrows into your flesh.

If it’s in your mouth it swims and climbs into your nasal passages, inner ear, and behind your eyes.

Then it digs in.

It enters your bloodstream and collects in your brain and spine.

Like something out of a sci-fi movie, *it becomes a part of you and you cannot eliminate it.*

We are only now beginning to understand the full power and implications of sexual
This is pure science

Kwa maana ya kwamba if a girl has sex with someone mwenye DNA za ukichaa..chances za binti kua kichaa ni kubwa sanaa
 
Aisee,
Japokuwa nakubaliana na kutokufanya ngono kabla ya ndoa au kuwa mwaminifu, the body speaks otherwise 😑
 
Yani DNA ya kutoka kwenye sperm iende mpaka kubadili tabia ya mwanamke?

Basi kama hivyo wanawake wote wanaokula nyama ya ng'ombe wangekuwa na tabia kama ya ng'ombe!

Hizi post nyengine ni za kusoma na ukazipuuza tu.

Nadhani Mleta Uzi hajui kuwa tabia za urith zinatransfer kutoka kwa Baba & Mama kwenda kwa Mtoto during Fertilization.

Lakini yeye kaona zinaenda directly wakati wa kugegeda kwa Mwanamke wakati wa Kugegeda
 
Watu wengine wana biased beliefs zao, sasa wanataka kuzipenyeza kwenye sayansi zipate kukubalika.
 
Yani DNA ya kutoka kwenye sperm iende mpaka kubadili tabia ya mwanamke?

Basi kama hivyo wanawake wote wanaokula nyama ya ng'ombe wangekuwa na tabia kama ya ng'ombe!
Nakula sana kuku nadhani nitakuwa nina DNA ya kuku
 
Nakula sana kuku nadhani nitakuwa nina DNA ya kuku

Kichekesho.

Lakini.

Ukila sana kuku wanaokula madawa, hususan ya antibiotics, inawezekana na wewe ukayapata madawa hayo kupitia nyama ya kuku, halafu ikawa kama umetumia madawa bila vipimo, halafu ukiumwa, ukipewa madawa, yasifanye kazi.

Hili linakuwa tatizo kubbwa sana nchi kama Marekani.
 
Yawezekana kabisa, ila najiuliza yale madawa hayafi kwa kuku kuchomwa, kuchemshwa n.k.
Nina swahiba mwenzangu tukienda viti virefu hali kuku wa broiler kabisa kwa visingizio hivyo, sijamuuliza kuhusu mayai, ina maana hata kuku wa mayai hali sababu wanapewa madawa, yeye ni mbuzi tu, je mbuzi naye hali madawa, ng'ombe je au kiti moto?!
Hii topic ni nzito mno, tutafika wakati hatutakula hiki wala kununua kile sababu tu kinazalishwa au kukuzwa na madawa...
Dunia yaenda wapi walahi?!
 
Ukichoma na kuchemsha unaweza kuua vidudu hai tu kama vi bacteria.

Ma chemicals mengi huyaui. Kwani yenyewe si viumbe hai.

Ndiyo maana chumvi inabaki kuwa chumvi hata ukiichemsha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom