Ulaji wa ' Ugali ' kunasababisha upungufu mkubwa sana wa Mbegu za Kiume / Shahawa!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,910
Haya sasa wale Wanaume mliokuwa mnatucheka Sisi wenzenu tunaokula ' Viepe / Chips ' kuwa ni ' nyoro nyoro ' na kwamba nyie mnaokula ' Ugali / Nguna ' ndiyo ' Mashababi ' na mna Nguvu ni kwamba ' Mtaalam ' mmoja wa Masuala ya Afya ya Uzazi huko nchini Kenya amesema kwamba Wanaume wengi wanaokula sana Ugali wana Mbegu Chache za Kiume ( Shahawaless ) kuliko wale wasiokula sana huo Ugali.

IVF Specialist Dr. Shaunak Khandwala amesema namkunuu hapa kwa Kiingereza...." Contaminated Ugali has negative effect as it can cause infertility in Men because it contains Aflatoxins that can reduce Sperm count ".

Source: Standard Digital Kenya

Ngoja niendelee zangu Kula ' Michips ' ili nisiwe katika Kundi la Wanaume ' wafakamia ' Ugali halafu baadae wanakuwa ' Shahawaless ' wa Kutukuka kisha kila mkilala na Wake / Mademu zenu mnabaki Kutoa Upepo tu kama wa Basi la Yutong badala ya Mbegu ili muwaridhishe Wenza wenu.

Shikamoo Watafiti wote Duniani / Ulimwenguni.

Nawasilisha.
 
Unaposema ugali unamaanisha wa mahindi au Amina yeyote ya ugali maana kuna ugali wa
Mihogo
Mtama
Ndizi
Viazi
Nk.


Nilianza tabia ya kula mihogo ya kuchoma kila jioni nilijikuta na simamisha albanun filhayat dunia vibaya mnooo karibu kila saa .....
IkanibidI niache kabisa maaana ingeniletea shida kwakweli. Mihogo iwe ya kuchemshwa ama ya kuchoma pamoja na ugali wake ni hatariii sana kwakweli ...
 
ok mimbegu miingi lakini dk3 mech kwishnei
Kuna nguna ya mtama dk 40 unaendesha tu!! wacha kabisa
aliyekwambia kurudhisha ni kumimina humo nani? ehee
 
Chakula kikuu nchini na nchi nyingi za Africa ni ugali tangu zamani sasa nashangaa watu wake wangewezaje kuwa na watoto wengi kama ni hivyo.
 
aisee tusubiri povu la mikoani

Na ndiyo nawasubiri kwa hamu kweli hao waje Mkuu ila mpaka sasa hivi sijaanza kuwaona hapa. Huwa wanajisifia sana kuwa wanakula Ugali kumbe ujanja wote huo lakini ni ' Shahawaless '. Bora Sisi wala ' Chips ' hatuna Pumzi kwa ajili ya Mafuta / Wese lililopo lakini tuna Mbegu za Kiume / Shahawa Pipa la SIMTANK hifadhini Kwake kunako Makende.
 
Hawa wataalamu ukiwaendekeza unaweza kujikuta unashindia ubuyu.

Shenzi taipuuu!!..

Kwa ' Povu ' hili kubwa wala sihitaji kuwa na Shahada ya Chuo Kikuu kutaka kujua kwamba si tu ' umebobea ' bali pia ' umetukuka ' kwa Kula ' Ugali ' Mkuu. Pole sana na kuwa mvumilivu tu!
 
GENTAMYCIN Nafikiri ww ni medical personel ila acha kuupotosha umma, maandishi yanasema Contaminated ugali, hivi neno contaminated kwako lina maana gani mku?
 
GENTAMYCIN Nafikiri ww ni medical personel ila acha kuupotosha umma, maandishi yanasema Contaminated ugali, hivi neno contaminated kwako lina maana gani mku?

Siitwi GENTAMYCIN bali naitwa GENTAMYCINE. Kuhusu hilo neno sijui ' Contaminated ' Mimi sijasoma kama Wewe hivyo kwa Kunisaidia tu kwakuwa Wewe ni Msomi wa ' Kutukuka ' naomba unisaidie kunielewesha hapo ili basi Mimi na ' Mangumbaru / Tusiojua ' Wenzangu tuweze Kuelimika. Kuhusu Fani yangu Mimi nilishaisema humu mara nyingi tu sijui ulikuwa wapi kuijua. Mimi nina Fani Kuu Tatu 1. Ufugaji, 2. Ukulima na 3. Uvuvi Mkuu.
 
Back
Top Bottom