Niulize swali lolote kuhusu magonjwa ya zinaa

Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
1,146
Points
2,000
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
1,146 2,000
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
 
1

100miles

Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
30
Points
125
1

100miles

Member
Joined Oct 30, 2018
30 125
Swala la msingi sana,, kwann mtu kabla ya kupima anaweza kuwa na afya pouwa tuh,, lkn akipima akaambiwa amepatwa na ugonjwa wa zinaa anaanza kudhoofika
 
Chizi Maarifa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
2,486
Points
2,000
Chizi Maarifa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
2,486 2,000
Nauliza swali lolote.
 
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
1,146
Points
2,000
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
1,146 2,000
Swala la msingi sana,, kwann mtu kabla ya kupima anaweza kuwa na afya pouwa tuh,, lkn akipima akaambiwa amepatwa na ugonjwa wa zinaa anaanza kudhoofika
hii dhana sio ya kweli
 
msondomba

msondomba

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,037
Points
2,000
msondomba

msondomba

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,037 2,000
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
kama nikitumia KY jell alaf nikakutana na mwanamke mwenye maambukiz mfano Ukimwi kuna uwezekano wa kupata apo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
1,146
Points
2,000
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
1,146 2,000
Kwann Dada za pep za kuzuia maambukizi zinalewesha ivi na kama mtu ukiacha kumeza kabla ya kumaliza dozi kunatatizo maana nimeshindwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la dawa ni kusaidiwa mwili kupambana na maambukizi , iwapo utaacha dawa maana yake unaweza kupata maambukzi kwa urahisi zaidi
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
42,170
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
42,170 2,000
Kwann Dada za pep za kuzuia maambukizi zinalewesha ivi na kama mtu ukiacha kumeza kabla ya kumaliza dozi kunatatizo maana nimeshindwa aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
komaa siku 30 ziishe, hayo mawenge ni siku 5 za mwanzo tu.
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
10,911
Points
2,000
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
10,911 2,000
Ndugu zangu wa JF, natoa tena nafasi nyingine tuweze kuelimishana kuhusu magonjwa ya zinaa. Uliza swalili lolote kuhusu magonjwa ya zinaa mfano uume kutoa usaha, maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo. Nitakupa majibu ya maswali yako .
Mkuu leo nimeona hali fulani sijaielewa kabisa,

Iko hivi asubuhi wakati nakojoa nimekojoa mkojo wa kawaida kabisa ile inafika mwsho umetoka mkojo fulani sijauelewa kwakwi ni kama chai ya maziwa. Sina maumivu yoyote hii hali iliwahi kunitokea huko nyuma nikienda kukojoa tena sioni.

Nimewaza sana labda UTI ila sasa sina maumivu wala dalili nyingine ya uti na sijafanya sex six months. Huwa inatokea sijaelewa shida nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Messages
1,146
Points
2,000
Papa Mobimba

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2018
1,146 2,000
Mkuu leo nimeona hali fulani sijaielewa kabisa,

Iko hivi asubuhi wakati nakojoa nimekojoa mkojo wa kawaida kabisa ile inafika mwsho umetoka mkojo fulani sijauelewa kwakwi ni kama chai ya maziwa. Sina maumivu yoyote hii hali iliwahi kunitokea huko nyuma nikienda kukojoa tena sioni.

Nimewaza sana labda UTI ila sasa sina maumivu wala dalili nyingine ya uti na sijafanya sex six months. Huwa inatokea sijaelewa shida nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hayo ni manii, wakati mwingne ni kawaida kwa wanaume
 
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
5,128
Points
2,000
Mtoto wa nzi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
5,128 2,000
Dawa za kuzuia maambukizi ya vvu mara baada ya kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi
Zinapatikanaje ..maana nasikia tu zipo zipo ....mara zinatolewa kwa watu Wa afya tu ... Ufafanuzi tafadhali ...
 
Forum statistics

Threads 1,342,645
Members 514,741
Posts 32,758,629
Top