Kina Mama Naomba Mnijuze!

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
1,423
7,911
Habari Za Mchana Waatu Wa Mungu!


Naomba Nifupishe Swali Langu
Kinamama Hivi Nikweli Mwanamke Anaweza Beba Ujauzito Mwingine Baada Ya Kujifungua Ndani Ya Mwezi M1 Akikutana Na Mwanaume?

Samahan Kwa Watakao Kwazika! Ila Nataka Jibu Kwa Kinadada Ambao Ndio Wanajua Zaidi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom