Habari za muda huu madaktari,
Napenda kupokea ushauri wa kitabibu kutoka kwenu maana kuna mtoto wa Dada yangu alipitia yafuatayo wakati wa kuzaliwa:-
1.UJAUZITO zile tarehe za makadirio...
Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:-
Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya...
Kuna muda unaweza kuchana nywele alafu ukashangaa vitu kama cheche za moto/umeme zinaonekana kwa mbali. Jaribu mida ya usiku/gizani uone.
hii inasababisha na nini wataalam?
Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama...
The following are some electro Cell food that support life, none hybrid one supports life.
Alkaline Grains
Amaranth, Fonio, Kamut, Quinoa, Rye, Spelt, Tef, Wild Rice.
Vegetables
Amaranth greens...
Je, wewe n mmoja wapo ya wale wanunuao sabuni kwa kufata manukato pasi na kujali viambata viitengenezayo sabuni husika?
Hili ni moja wapo ya zoea baya la walaji wa bidhaa mbali mbali nnchini...
Habari, hv zle sindano sjui za tetanus, huwa znachomwa eneo la kidonda ama kwa tako ili nijiandae, maana mm n muoga wa sindano. Na yamenkuta leo, na huwa n bure hospitali??
By: Pharm Michael Y. Bajile
Kwa lugha za kikemikali pombe ni organic compound iliyo na mchanganyiko wa kemikali za Carbon, hydrogen na oxygen (ROH). Pia ipo kwenye familia moja kikemikali na...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi maandalizi ya kuanzisha huduma ya upandikizaji wa moyo, hatua hiyo imeelezwa kuwa inatarajiwa kuendelea kuiweka Tanzania kwenye ramani ya huduma...
WanaJF habarini za leo!Ninaomba mwenye kujua huu ugonjwa wa kupasuka sehemu za mdomoni unatibiwaje naomba msaada!Mdomo unajichana na kutoa damu hasa kipindi hiki cha baridi!!!MSAADA TAFADHALI!!!
CT Scan ni Nini?
CT Scan, kifupi cha "Computed Tomography Scan," ni teknolojia ya kisasa ya uchunguzi inayotumia mionzi ya X na kompyuta kuunda picha za sehemu ya ndani ya mwili. Tofauti na X-ray...
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa...
Wataalam habari za asubuhi?
Naomba msaada wa elimu katika hili.
Baada ya kuishi na mke kwa muda kwa mwaka mmoja na miezi saba bila kupata hata dalili yoyote ya mimba, nikaamua kwenda hospital...
Punyeto/kujichua ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa...
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.