Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo...
If you’re bothered by how much you sweat, you’ve likely tried many different brands of deodorant with no success.
Excessive underarm sweating can be uncomfortable, but it doesn’t have to be...
Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila...
Jana nilienda hospitali moja kubwa hapa jijini Dar.Nilikuwa nasumbuliwa na homa ikiambatana na maumivu ya mara kwa mara ya tumbo.Kwa maelezo ya Dr. ilibidi aniandikie kipimo flani hivi kinaitwa...
Habari za humu wataalam,
kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega.
Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Nimeshuhudia mwenyewe initial costs nearing 900,000 Tsh. Bado vikoromboizo vingine.
Kweli "wanyonge" wa magufuli wataweza?
Main bussiness ni kukaa madarakani na Tupo Mlimani city kutakatisha...
Habari wakuu Mzee wangu umri miaka65,alianza kuuma sana korodani zote na nyonga na mapaja,korodani moja limejaa limevimba ukubwa wa ngumi
Sasa baada yakumfikisha hospital imeonekana vipimo...
Ndugu Zanguni Poleni Na Majukumu .
Nimekuja hapa kwa ajili ya ushauri wenu ,atakaenibeza Mungu amsamehe .
Nimewahi kuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mzuri .
Siku ya kwanza wakati nashiriki...
Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe
Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa...
Wakuu,
Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake.
Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo...
Habari wana Jf, naombeni msaada nina mtoto wa miezi saba na nilisafiri nje ya nchi kwa siku tano yeye nilimuacha sababu nilimkamulia alikua na stock ya maziwa ya kumtosha hizi siku zote.
Ila toka...
Ni takribani wiki sasa inapita napatwa na dalili hizi
1. Muwasho sehemu za siri kwenye uume na pumbu zinapata zinapata vipele flani havijai maji ila nikivikuna vitamu sana nasikia raha sana mpaka...
Kama unapambana na uzito mkubwa au unataka kulinda mwili wako usiongezeke, kuna njia rahisi na salama unayoweza kuanza leo.
Soma kwa makini maelezo haya, hasa kama unataka kuondoa kitambi na...
Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au...
Wakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema...
Wasalaam Sana wajumbe.
Kumekuwa na dhana iliyojengeka miongoni mwa wanajamii kuhusu ugonjwa wa Urinary Track Infection UTI ambao unawakumba watu wengi nyakati hizi bila kujali umri wala mazingira...
Kwa takribani miezi miwili sasa nimekuwa nikijihisi tofauti. Mapigo ya moyo wangu yamekuwa yakienda kwa kasi.
Leo nikaamua kwenda hospitali kupima.
MAJIBU:-
* Blood Pressure = 165/110
* Uzito...
Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.