Je Maziwa ya Mama huwa yanaharibika?

Je Maziwa ya Mama huwa yanaharibika?

Simara

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
7,615
Reaction score
24,263
Habari zenu wajuzi, nina mtoto wa miezi 9 ila nimesafiri takribani week mbili sasa na huku nilipo nilikamja maziwa yangu siku moja tu, je nikirudi naweza mnyonyesha? Kuna imani kuwa maziwa ya Mama usiponyonyesha hata siku tatu ukija mnyonyesha mtoto anaharisha hivyo natamani kujua kutoka kwa watalamu je ni kweli???

natarajia kurudi jumanne.
 
mnyonyeshe ili ujue kama ni kweli ama si kweli....!😎
 
Kwanini usiende na mtoto au hutaki sereka za kusafiri na wa kukaa nae make napo ni kipengele!!

Vipi ile miezi 7 uvomuacha hakudhurika kiivo???

Nasikia huwa hayaharibiki but kuna watoto wengine kweli huharisha sana!!

Mungu asaidie yasiharibike wala kumdhuru

Cc Smart911
 
Mdada Passport yake ilichelewa kutoka sikua na namna zaidi ya kumuacha.

Kile kipindi nilikua nakamua kila siku hivyo hivyo ingawa yalikua hayatoki, this time nachoka sana hata kukamua naona uvivu.
 
Kamua tu kwa afya ya mtoto
 
Back
Top Bottom