Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Sep 9, 2024
84
224
Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.

Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo

Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym

Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri

Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi

Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie

Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
 
Mm ni mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa hasa mm alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile nikafikirigi ni michezo ya kawaida kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadilia kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mm nilikuwa sijui nae akafanikiwa kipind natoka shule njian akiniona mm naenda anipeleka kichakan ikawa ivo nikafika secondary mm tayari hisia zangu kwa mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipind nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni nilipofika form4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipind hicho nilikuwa nahisia na mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym mnielewe mm nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe yeyote wala sina sauti ya kike. Kutoka form4 mpaka form6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1 uume hausimami vizurii kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipind cha nyuma haswa kipind kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa ivi naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea ivi hata wa kiume pia kiukweli mm michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Pole kupambana na addiction ni issue nyingine isee ila wewe umeonyesha kabisa hutaki huo mchezo..i hope utafanikiwa kuacha kabisa na kuwa dume la mbegu ka sisi wengine asilimia 💯

Mimi nakushauri jiongeleshe wewe mwenyewe mara nyingi kuwa wewe ni kidume na ukitaka mwanmke yyte unampata na unaweza kufanya mapenzi muda mrefu..

Then tongoza sana wanawake usiogope kukatatiliwa we tongoza tu then wanaokubali omba game fanya nao mara nyingi utaona mabadiliko..

Usijifikirie sijui watanionaje ishi leo sio jana hayo yameshapita onyesha upande wako wa pili wa uanaumee kaza mwanangu!
 
Mungu akusaidie.
Nakumbuka utotoni enzi hizo 2006, 2008, 2008 nk.. nyumbani tulikuwa na n'gombe wengi hivyo mara kadhaa walikuwa wakija na kuondoka wachungaji wengi sana. Isitoshe wengi walikuwa na umri mkubwa zaidi yangu mi nna 8, 9 of age wao 20, 25 nk.
Hao watu nilikuwa nikilala nao Mimi kama mwenyeji kwenye nyumba yetu ndogo but leo miaka imekwenda sana , baada ya matukio haya kuzidi siku Moja nilijiuliza na kumshukuru mungu kwamba watu wale hawakunifanyia uchafu huo.
 
Unahitaji mkubwa na mtoto walio lala pamoja 200 ili upate mkubwa mmoja mwenye viytendo hivyo.
 
Mm ni mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa hasa mm alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile nikafikirigi ni michezo ya kawaida kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadilia kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mm nilikuwa sijui nae akafanikiwa kipind natoka shule njian akiniona mm naenda anipeleka kichakan ikawa ivo nikafika secondary mm tayari hisia zangu kwa mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipind nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni nilipofika form4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipind hicho nilikuwa nahisia na mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym mnielewe mm nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe yeyote wala sina sauti ya kike. Kutoka form4 mpaka form6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1 uume hausimami vizurii kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipind cha nyuma haswa kipind kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa ivi naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea ivi hata wa kiume pia kiukweli mm michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Mkuu habari,

Kwanza hongera kwa kuwa jasiri na kuliweka wazi lile likusumbualo.

Njia ya kwanza ya kupona ni kujua kinachokusumbua,na pia kuchukua hatua stahiki za kuweza kulitatua.

Hatua ya pili ni kutafuta mtu ambae wewe utamuamini na kuyazungumza kwa kina yale uliyonayo moyoni.

Safari ya kupona haina KUCHELEWA ,hivo huu ni wakati SAHIHI.

Pia tambua , Mtandaoni kila mmoja ana maoni yake,Hivo jikite kwenye kuusoma ujumbe wa mtu na kuuacha kama ulivo.Maana ukiuweka kichwani kila tusi ,dhihaka au maskhara ya mtu unaweza kujiona weye si mtu.

Niko tayari tuzungumze kwa kina kuona namna gani ya kufanya.

Karibu pm kwa mazungumzo zaidi.
 
Back
Top Bottom