Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wasalaam madaktari na wahenga... Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili. Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri. Kwanza ameokoka na katika uchumba...
19 Reactions
206 Replies
10K Views
Kuna aliepona bawasili kwa dawa asili au aliefanya operation akawa safi
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Kijana mtanzania miaka 27 nimekuwa nikitazama video za uchi na baadae kujichua( mastubation) kwa Miaka kumi sasa. Nimejitahidi sana kuacha lakini najikuta narudi tena. Naombeni ushauri jinsi ya...
12 Reactions
100 Replies
4K Views
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS....... WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY? According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended...
16 Reactions
214 Replies
47K Views
Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni...
1 Reactions
10 Replies
652 Views
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima! Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bawasili ya ndani tba yake wakuu,
0 Reactions
2 Replies
265 Views
Kuzimia kunaweza kutisha, hasa baada ya kipindi cha raha ama msisimko mkali. Mara kadhaa kumekuwepo watu waliotaka kufahamu chanzo cha kuzimia, ama kupata kizunguzungu wakati wa tendo la ndoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nina changamoto inanisumbua. Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa. Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali. Miwasho haipo ila ni...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk...
0 Reactions
5 Replies
308 Views
VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo. LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi ni stage gani ya ugonjwa unataka kuiwahi ndio unakua na asilimia nyingi za kupona? The Tipping Point: How to Halt Diabetes Before It's Too Late Introduction: Understanding Reversal vs. a...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/kama-bado-upo-kwenye-ujana-jitahidi-sana-kufanya-mazoezi.2359916/
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu. Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na...
1 Reactions
38 Replies
32K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua...
21 Reactions
105 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada wenu, tumbo langu linaunguruma sana hadi nakosa amani, halafu nikienda haja sipati kitu na pia shemu ya chini ya tumbo na kiuno nahisi maumivu na tumbo linakuwa kama limejaa...
2 Reactions
13 Replies
886 Views
Kuna vidonge vinaitwa ginsomin, je hivi huweza kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuimarisha uume uliolegea? Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
430 Views
🩺 Elimu ya Afya Leo: Mimba Inayokua Nje ya Kizazi (Ectopic Pregnancy) 📲 IG: @hillary_officialtz ❓ Je, Mimba ya Nje ya Kizazi ni nini? Ni hali ya hatari ambapo yai lililorutubishwa...
3 Reactions
0 Replies
561 Views
Habari wadau, Nina dada yangu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kuuma kila inapofika kwenye tarehe zake. ameolewa kama miaka 3 iliyopita ila hajabahatika kushika ujauzito. alienda hospitali...
1 Reactions
6 Replies
14K Views
Back
Top Bottom