Msaada tafadhali, nimekata tamaa ya maisha

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.

Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaa
Screenshot_2022-09-16-11-10-22-81_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
Screenshot_2022-09-16-11-10-13-28_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.

Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaaView attachment 2358531View attachment 2358532
Kukata tamaa ndio ugonjwa mkubwaa kuliko hata hayo magonjwa uliyasema
Jaribu kutafuta njia nyingne kam kufanyiwa maombi/Dua au tumia tiba za asili ..
 
Nkuu kwa kuangakia jina lako nahisi ni wa kutoka iringa.. aisee wewe usikate tamaa maana wote tunajua maamuz yebu mkishakata tamaa hua sio mazuri. We komaa hvo hvo tafta njia mbadala kama chakula n.k
 
Habari za asubuhi, mimi nina tatizo la muda mrefu kama miaka mitatu tatizo nililonalo NI mdomo kuwa na ladha ya uchachu, viungo vya mwili kuuma, uchovu kupindukia, tumbo kuunguruma, nimekunywa dawa za hospitalin nyingi ikiwemo HELIGOKIT KIT lakin sipati nafuu.

Juzi nikaenda hospital kubwa ya Ikonda kufanya check up wakanipima Choo na kuingizwa mpira wenye kamera tumbon ENDOSCOPY wakasema Nina michubuko tumbon na pia kipimo cha Choo kikaonekana Nina bacteria WA HPYROL wakaniambia Nina vidonda vya tumbo wakanipa HELIGOKIT,Pantaprazole nimemaliza lkn Hali yangu ipo vile vile mpk nimekata tamaaView attachment 2358531View attachment 2358532
Kwa mimi nilicyo elewa hao bacteria waliokukuta nao wakati wa endoscopy .(helicobacter pylory) ni kweli wanasababisha PEPTIC ULCER DISEASE AU MADONDA YA TUMBO. Dawa po nyingi ila iyo ya pentapraozole kama umemeza kwa muda wa wiki mbili ni vzuri maana yenyewe inadili na protini na mafuta kuyaweka yawe sawa. ELIGo KiT sansan hua ina mchanganyko wa dawa kama 3 hv kwenye kidonge kimoja. Sjajua uliambiwa umeze kwa muda gani?

Sabau zinazi pelekea MaDONDA YA TUMBO Ni 1 MawaZo, 2 Huyo bacteria helicobacter p ylori
3.. Genetics - kuna watu wanazaliwaga wantatizo la kuchubuka nyama za tumbo
4 unyaji wa pombe
5 MadawA- kuna dawa ukimeza kwq kipind kirefu kinafanya michubuko tumboni
PIGA TATHMINI WW KIPI KIMELETEZA. ALFU PUnguza mawazo naya yanapelekea mmeng'enyeko wa chakula kwenda kombo na kupelekea miechubuko
NI VYAKULA GANI UKILA VINAKUPA SHIDA UNASIKIA TUMBO limechafuka au maumivu?
AU UKIWA ujala unajihisi fresh au ukila ndo umealibu kabisa yaan tumbo ndo linachafuka??
Waga Uanapata na maumivu ya tumbo hasahsa usiku kuanzia saa 6 mpka saa9?
Ningependa kufahamu umri wako na kazi unayo jishugulisha nayo?
Niemejalibu kuendan na hospital wanavy sema. Jibu Hayo aLFu tuendelee
 
Pantaprazole nilipewa za mwez mzima, HELIGOKIT ya wiki moja umri miaka 29

Dalili tumbo linajaa gas,viungo vya mwili vinauma,tumbon kama kuna Moto unawaka,mdomo kuwa na Radha ya UCHACHU muda wowote Hasa ninspoamka asubuh,nakosa hamu ya Kula muda wowote nimeshiba
 
tumbo waga limetulia ila ukila chakula ndo linauma au linasokota na kujaa gesi?? Maumivu ya tumbo hasahasa usiku kuanzia saa 6 mpka saa 9??
Una muda gani tangu tatizo hili limekuanza??

Jibu hyo ??
 
Tumbo halium tatizo ni gas,sijisikii Kula,Nikila nakula kidogo nimeshiba,tumbon nahis kunawaka Moto,misuli imekaza,miguu nakosa nguvu,viungo vya mwili vinauma,mate Yana radha ya uchungu utadhan nimekunywa alovera hakika nateseka sana
 
kama hospital walivyo sema una vidonda vya tumbo vilivyosababshwa na hao bacteria helicobacter pylori.

Jaribu kuangalia vyakula unavyo kula navyo vinaweza kuongeza gesi

Unatumia pombe??
Epuka kula chakula usiku sana muda umeenda, Kula kiasi kidoga ila mara kwa mara.

Uki lala lalia mto kichwani ili kupunguza chakula kisiwe kinarudi kwenye kolomeo

Tafta magnesium upunguzw gesi afu anza kuwa unatathmini chakula ambacho kina kukubali kinakupa unafuu

Tusi ng:ang'anie hospitali kama ni vidonda vya tumbo afu huponi . Wacheki wataalamu labda umepgwa juju wakati unakula
 
Usikate tamaa kuongea tu ni chanzo kuelekea ufumbuzi wa shida yako.
Hakuna tatizo jipya duniani yote watu walishayapitia utapata ufumbuzi
 
Back
Top Bottom