Habari wakuu naomba ushauli wa kupunguza uzito kwa haraka zaidi naona ninapoelekea sio kuzuri, je nitumie dawa gani maana kwa kufanya mazoezi nitakuwa muongo sina muda huo kabisa
Umri: 25
Uzito...
Fangasi Kwa Mwanaume:
Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida albicans. Maambukizi haya huathiri ngozi ya uume na...
Kiukweli napata changamoto kubwa sana pia nakosa kujihamini kwenye tendo sababu ya dhakari[uume] wangu umepinda kuelekea chini.
Nakuwa mnyonge kwenye tendo maana baadhi ya mikao siwezi kupaform...
Mdogo wangu anasumbuliwa na tinnitus kwa muda sasa karibu miaka 8, tumejaribu kila njia lakini anasem bado.
Kwa anefahamu matibbu ya tinnitus msaada
Tumejaribu kununua hearing aid lakini hkuna...
Wasalaam madaktari na wahenga...
Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili.
Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri.
Kwanza ameokoka na katika uchumba...
Kijana mtanzania miaka 27 nimekuwa nikitazama video za uchi na baadae kujichua( mastubation) kwa Miaka kumi sasa.
Nimejitahidi sana kuacha lakini najikuta narudi tena.
Naombeni ushauri jinsi ya...
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S
THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS.......
WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY?
According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended...
Kwa anayefahamu dawa yake naomba anisaidie mana imesababisha kinyama kitoke Hali inayosababisha maumivu makali,Minpo Dodoma ingawa hapa Dodoma kuna dawa zike za wasuni ila sijazijaribu naombeni...
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima!
Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa...
Kuzimia kunaweza kutisha, hasa baada ya kipindi cha raha ama msisimko mkali. Mara kadhaa kumekuwepo watu waliotaka kufahamu chanzo cha kuzimia, ama kupata kizunguzungu wakati wa tendo la ndoa...
Wakuu nina changamoto inanisumbua.
Maumivu wakati wa kujisaidia & baada ya kujisaidia haja kubwa. Kuna Kama michubuko kwenye njia husika inayopelekea maumivu makali.
Miwasho haipo ila ni...
Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk...
VICHOMI ni lugha ilio zoeleka kwa wanao sema kua kuna vitu vinachoma juu ya tumbo au mbavu, maumivu makali na ya mda mfupi kama mwiba umechoma eneo kilo.
LAKINI KIUHALISIA TUKISEMA TUNAVICHOMI...
Hivi ni stage gani ya ugonjwa unataka kuiwahi ndio unakua na asilimia nyingi za kupona?
The Tipping Point: How to Halt Diabetes Before It's Too Late
Introduction: Understanding Reversal vs. a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.