Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu naomba mnisaidie kunielekeza kuhusu hii picha ya Ultra Sound na naattach na maelezo yake. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Watafiti nchini Marekani wamebaini kwamba kutokula kwa masaa 16-18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa. Katika makala iliyoandikwa katika...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wana JF, naomba kufahamu upungufu Wa kinga mwilini unachukua muda gani kuonekana? Punde baada ya kuupata? Na ipi ni dalili kuu kuliko zote? Na kwenye kipimo huonekana baada ya muda gani...
5 Reactions
126 Replies
196K Views
Habar
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ana ujauzito wiki 23, anavimba saana miguu especially akikaa kwa muda mrefu. Vipimo vya presha vinaonyesha ipo normal. Naomba msaada, je ni nini sababu? Je ni nini tiba?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
MAELEZO YA KISAYANSI KUHUSU KULALA KUPOOZA. Kwa mujibu wa Ryan Hurd kwenye makala yake ya "The sleeping paralysis report" kulala kupooza ni hali impatayo mtu pale muingiliano wa taswira za kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za muda muda huu wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa mnajiandaa vema na maandalizi ya kuupokea mwaka. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya masuala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu poleni na majukumu naomba msaada wa mawazo juu ya hili. Leo katika harakati zangu za kuusaka mkate wetu wa kila siku nimevamiwa na kung'atwa na mbwa jike anaesadikika ana watoto wadogo...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Nauliza kuhusu gharama za matibabu kwa masikio yenye uwezo mdogo wa kusikia. Sikio langu moja linanisumbua. Mliowai kupatwa na tatizo hili mlikutana na changamoto gani? Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF, Nina swali kidogo juu ya Mimba ambayo inayotungwa katika Mirija Ya Uzazi, hii Mimba huwa haikui je huchukua Muda gani kupasuka Yenyewe? Na Mtu mwenye shida hii huchukua Muda gani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jinsi Ubongo unavyobadilika kukabiliana na Mazingira. Ubongo wa binadamu umejengwa/umeumbwa kwa namna ya kumwezesha aendelee kuishi/kuwepo (survive) katika nyakati ngumu au kipindi cha hatari...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Leo ni Siku ya Homa ya Mapafu (Pneumonia) Duniani. Siku hii inaadhimishwa kila tarehe 12 Novemba kila mwaka. Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema ugonjwa huo uliua watoto 808...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HOMA ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani. Mapafu yanajumuisha mirija mikubwa ya hewa (bronchi) ambayo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hellow ,, Tunaelekea kufunga mwaka ,niwatakieni kila la kheri Ninaomba ushauri ,nimekuwa napenda kutafuna mbegu za maboga nyakati za usiku(kama mlo) na nikitafuna saa 1 saa 2:30 nakuwa nasinzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman naomben ushauri nadhani nimeathirika UKIMWI Miez mitatu iliyopita nilitembea na Mke wa mtu aisee siku ya kwanza kumpeleka guest nilivaa condom wakati wa kugegedana lkn katikati ya show yule...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Hello wakuu! nimekuwa mfuatiliaji wa makala mbali mbali zinazohusu jinsi ya ku control too much acid inayotusumbua watu wengi. Rafiki yangu mmoja ambaye ni medical doctor aliniambia kwa kirefu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zanguni Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali ya kumwaga mbegu za kiume usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali ya usingizi huo...
2 Reactions
96 Replies
22K Views
Yaani nahisi nimelaaniwa. I'm too addicted to this shit Juzi nlikuwa kwenye sherehe fulani ile muda wa menu naenda kunawa si nikakutana na Mtoto beautiful, juicy, sweet, slimy mwenye macho ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu bandugu? Leo nawapa siri kubwa sana ambayo baadhi yenu wachache tayari mnaijua japo hamjaizingatia sana. Siri ya maji ya moto Chukua maji lita moja yachemshe yachemke ipasavyo...
10 Reactions
22 Replies
15K Views
Habari zenu wadau, poleni na majukumu Mimi nina tatizo nilikuwa naombeni mnisaidie japo kwenye maelezo itakuwa ni shida ila nina imani mtanielewa, ngoja niende kwenye point moja kwa moja. Mimi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…