Mafuta ya taa ni dawa?

robby un

Member
Oct 6, 2018
52
39
Ndugu poleni na majukumu naomba msaada wa mawazo juu ya hili.

Leo katika harakati zangu za kuusaka mkate wetu wa kila siku nimevamiwa na kung'atwa na mbwa jike anaesadikika ana watoto wadogo ambao hataki mtu awasogelee.

Nimeongea na mmiliki wa mbwa huyo kanihakikishia kuwa mbwa wake hana ugonjwa wa kichaa kwani amekwisha chomwa chanjo ya kuzuia ugonjwa huo

Akawa amenisafisha kidonda kwa mafuta ya taa na kuweka dawa flani ya kienyeji. Ombi langu ndugu ni je haya mafuta ya taa ni dawa ama? Natanguliza shukrani zangu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwa anayeweza kung'ata mtu huyo anakichaa! Huyo mwenye mbwa anaogopa gharama! Ukifuga mbwa akamg'ata mtu ni wajibu wa mwenye mbwa kumtibu aliyeumwa! Nenda hospitali fasta vinginevyo 2020 utainusa tu kama utaiona kabisa!
 
Back
Top Bottom