Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 239
- 169
Jaman naomben ushauri nadhani nimeathirika UKIMWI
Miez mitatu iliyopita nilitembea na Mke wa mtu aisee siku ya kwanza kumpeleka guest nilivaa condom wakati wa kugegedana lkn katikati ya show yule demu akaomba nivue Condom ili tupate radha halisi ya mapenz.
Kweli nilivua nikaendelea kumgegeda kavu kavu
Katika kipindi hicho cha miez 3 iliyopita nmeish kwa presha kubwa na nikajihesab nimeukwaa tayari.
Tarehe 24 mwez huu niliamka na kuamua kwenda maabara kupima UKIMWI
Walichukua damu yangu tmatone mawili hivi wakaweka kwenye kifaa cha kupimia nikaambiwa nisubiri majibu baada ya Dk 20
Hakika muda ulipofika nilichukua majibu yangu kuwa nipo negative kwa kuwa kile kimstari kilikuwa kimoja tu
Baadaye Nilimuomba yule wa maabara niondoke na kile kifaa nilichotumia kupimia ngoma kikiwa na mstari mmoja tu.Lkn yule mpimaj alidai kile kipimio harusiw kumpa mteja arudi nacho nyumban serikali ilikataza BASI Mimi nikalazimisha
Nilipofika home kumuonyesha wife kimbembe kilianza baada saa moja ya kile kipimio kuanza kuweka mistari 3 kuonyesha nipo POSITIVE
Naomben ushaur ndoa imevurugika wajomba na mashangaz wamenitenga wife karudi kwao nmebak mpweke nataka hata kunywa sumu.
Majibu hayo niliyapiga picha nilipokuwa maabara
Washauri nisaidien
Sent using Jamii Forums mobile app