Alkaline Water & Acid Reflux

Satoshi Nakamoto

Senior Member
May 28, 2017
105
435
Hello wakuu! nimekuwa mfuatiliaji wa makala mbali mbali zinazohusu jinsi ya ku control too much acid inayotusumbua watu wengi. Rafiki yangu mmoja ambaye ni medical doctor aliniambia kwa kirefu madhara ya kutumia Proton pump inhibitors (PPIs) kama omeprazole, esomeprazole etc, kwa kifupi hata ninapojaribu kufuatilia kwa kusoma journals mbali mbali, hizi ppis zimekuwa zikisemwa kuwa na madhara makubwa in long term use.

Kwa kifupi baada ya kusumbuliwa na LPR (silent reflux) na kuona hizi PPi hazina msaada wa kudumu zaidi ya kukufanya uwe mtumwa wa hizo dawa, niliamua kufuata kitu inaitwa Acid Watcher Diet ambayo kwa kiasi kikubwa imesaidia sana kuondoa ile hali niliyokua naisikia, adition to that, natamani nipate alkaline water (maji yenye Ph ya kati ya 8 - 9) ambayo yanasaidia kuondoa kichocheo kiitwacho pepsin (pepsin enzyme) ambacho ndicho kisababishi kikubwa cha Acid Reflux.

Swali: Je ni wapi naweza pata alkaline water kwa hapa Dar es Salaam? Na wataalam wa afya mnazungumziaje matumizi ya PPIs na pia matumizi ya alkaline water kwa mtu anayesumbuliwa na LPR or Gerd?

According to Dr. Koufman, however, alkaline water can benefit people who suffer from acid reflux because, as her published research has found, the stomach enzyme pepsin dies at pH 8. Pepsin is responsible for inflammation in the ears, nose, and throat, but when alkaline water touches the tissues of the throat and esophagus, it helps wash out pepsin. “Alkaline water does help wash out stomach enzymes and [the] esophagus, [so] it can alleviate reflux symptoms, even undiagnosed ones,” she says. SOURCE
 
Back
Top Bottom