Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Ana ujauzito wiki 23, anavimba saana miguu especially akikaa kwa muda mrefu. Vipimo vya presha vinaonyesha ipo normal. Naomba msaada, je ni nini sababu? Je ni nini tiba?
Okey notedHapo tiba ni mazoezi ya kutembea inaonyesha hiyo mimba ndio ya kwanza kwake alafu anakaa/kulala sana.