Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari ya asubuhi wakuu. Nimejifungua hivi karibuni, tatizo nililo nalo matiti hayatoi maziwa kwa ajili ya mtoto. Nawaomba kwa mwenye uelewa anisaidie tafadhali. Natanguliza shukrani...
1 Reactions
53 Replies
14K Views
Naomba kujua side effects za hizi dawa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hope mpo wazima wanajf Ipo hivi.. Nilikuwa nasumbuliwa sana na tatizo la kifua upande wa upumuaji, kwa mazoea yangu basi nilihisi ni Asthma coz hyo ndio homa ambyo inanisumbua mara kwa mara na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu kiujumla wanaJF Moja kwa moja... Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno, ambayo amekuwa akidai sometimes huwa yanazunguka mpaka maeneo ya kwenye tumbo Kama kuna mtu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Hili tatizo la kuwa na wasiwasi au hofu muda mwingi nini chanzo chake Nawasilisha
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Spinal Disc ni disk zinazokaa kati kati ya pingili “Spinal Vertebrae” za uti wa mgongo. Kuna wakati disk hizo hutoka sehemu yake na kusogea pembeni tatizo ambalo linajulikana kwa majina kadhaa...
3 Reactions
3 Replies
10K Views
Je Kujikuna ni Zawadi Itolewayo na Ubongo? Je Ni Kwanini Unahisi Raha na Adha Unapojikuna? Salaam Wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Unapohisi muwasho kwenye mwili wako ni dhahiri...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wapendwa. Kama kichwa habari kinavyojieleza, kuna dada wa rafiki yangu amepata hili tatizo la Cancer. Alianza kuumwa mwaka jana June alikwenda hospital wakampa rufaa ya kwenda...
7 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari Naomba kuuliza kama nimejamiana na mtu mwenye ukimwi itanichukua mda gani mim kuziona dalili kama nitakua nishaukwaa?
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Ukisikia tamu chungu au sikio la kufa halisikii dawa ndio huku sasa. Toka mwezi July sikio la upande wa kulia linauma. Kichwa kinauma muda mwingi ajili ya kuvaa earphones kila wakati ila sikomi...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Niko karibu na mwambao wa Pwani, maji ni ya kisima na yana hali ya chumvi, je yafaa kunywa? Kiafya ikoje?
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Naitwa Hussein nipo Arusha, ninasumbuliwa na allergy ambayo nawashwa sana koo na wakati mwingine natokwa na kwenye fizi nimekuwa natumia Predinisolone. Tangu 2014 zinanisaidia kidogo, je nifanye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Week iliyopita nilienda maabara kufanyiwa vipimo vya mkojo na kukutwa na UTI kidogo, hii ni baada ya kuwa nasikia maumivu kwa mbaali baada ya kumaliza kukojoa nilipofika maabara...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wataalam
1 Reactions
2 Replies
3K Views
nimeambwa kuwa inazalishwa tanzania na kuuzwa nchi mbalimbali afrika. naomba kujua inapatikana katika maduka gani hapa tz. tazama video hapa chini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari kwenu wakuu wenza kwenye jukwaa la Watanzania na pia Afrika mashariki yote. Natumai muko wazima katika afya na pia mumesalimika. Zimepita siku nyingi sana sijazungumzia chochote hapa jamii...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF Nauliza kwa yeyote anaeujua mti uitwao MKADAMONI naweza kuupatia wapi? Nina shida nao mimi nipo Dar es Salaam ndugu zanguni. Ahsanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu, Naomba msaada kwenu Doctors wa kufahamishwa dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili toka amezaliwa. Mafua aliyonayo mwanangu hayatiririki Ila yanamsumbua...
3 Reactions
15 Replies
13K Views
Mimi ni ME nina miaka 23, maumbile yangu (uume) yanakuwa madogo sana yakiwa yamelala ila yanakuwa makubwa yaki erect. Je kuna tatizo? Maana nakosa kujiamini pale ninapokuwa faragha muda maumbile...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Jamani nasumbuliwa na fungus wa vidoleni mikononi,nimetumia dawa nyingi lakini siponi, naomba anaejua dawa aniambie Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom