Kukojoa au kutoa mbegu za kiume usingizini nini tatizo?

Expert Judgement

JF-Expert Member
May 29, 2019
442
718
Wasalaam ndugu zanguni

Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali ya kumwaga mbegu za kiume usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali ya usingizi huo huo) nakuta zinatoka tena kwa mshindo mkubwa na zinakuwa nyingi. Najua wengine mtasema labda nakuwa na mawazo hayo ya ngono!

Hapana maana nipo kwenye maombolezo ya msiba wa marehemu mama aliyeaga dunia mwezi huu na ningali bado nipo nyumbani kwa mama kuweka mambo yake aliyoacha sawa.

Hali hi imenitisha mfano usiku wa leo nimepiga bao mbili.

Naombeni ushauri nahofia kumaliza mbegu maana zinatoka kama maji bombani.

UKIWEZA KUSHAURI KARIBU, UKIPENDA KUBEZA SIKUFUNGI NAZINGATIA UHURU WA KUTOA MAONI
cc mshana jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jini mahaba anakupiga blow job.

Nenda kalale kanisani au msikitini.

Btw hii mada ni ya kisayansi ungeiweka jukwaa la tiba. Humu tunajadili kudukuana na siyo kwa nini mbegu ni nyingi au chache
Wasalaam ndugu zanguni
Kwa muda wa siku tano mfululizo nimetokewa na hali yakumwaga mbegu ZAKIUME usingizini pasipo kuota ndoto nyevu bali nikishtuka usingizini ( katika hali YA usingizi huo huo) nakuta zinatoka Tena kwa mshindo mkubwa na zinakua nyingi. Najua wengine mtasema labda nakuwa na mawazo hayo ya ngono! Hapana maana nipo kwenye maombolezo ya msiba wa marehem mama alieaga dunia mwezi huu na ningali bado nipo nyumbani kwa mama kuweka mambo yake aliyoacha sawa. Hali hi imenitisha mfano usiku waleo nimepiga bao mbili naombeni ushauri nahofia kumaliza mbegu maana zinatoka km maji bombani. UKIWEZA KUSHAURI KARIBU, UKIPENDA KUBEZA SIKUFUNGI NAZINGATIA UHURU WA KUTOA MAONI
cc mshana jr

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom