Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,798
- 9,414
Yaani nahisi nimelaaniwa. I'm too addicted to this shit
Juzi nlikuwa kwenye sherehe fulani ile muda wa menu naenda kunawa si nikakutana na Mtoto beautiful, juicy, sweet, slimy mwenye macho ya golori na maandishi ya mwandiko mzuri kwenye chupa. Daah alikuwa ni soap ya maji zile zenye mtelezo na povu jingi zile. Daah nikamuiba nikakimbia naye chooni.
I'm letting down my wife and my kid