majid salim
Member
- Dec 10, 2019
- 25
- 7
Habari zenu wadau, poleni na majukumu
Mimi nina tatizo nilikuwa naombeni mnisaidie japo kwenye maelezo itakuwa ni shida ila nina imani mtanielewa, ngoja niende kwenye point moja kwa moja.
Mimi na kama mwezi mmoja hivi tangia niumwe, nilikuwa naumwa ugonjwa wa mapafu nadhani wengi mnaujua hadi niliandikiwa sindano za masaa. Kwahiyo nikawekewa drip kwenye mkono wangu kama unavojua sindano ya masaa sindano ya kwanza niliandikiwa saa 11 jioni, sindano ya pili niliandikiwa saa 7 ya usiku nilikaa na hiyo drip hadi nikamaliza sindano zote nilizoandikiwa.
Zilikuwa kama sindano nne sindano moja ilikuwa ni baada ya masaa 8. Sasa pigeni hesabu ziliisha baada ya muda gani hizo nne zote nimekaa kama week 3.
Nimeona kama kuna tatizo linajitokeza mahali nilipochomwa ile sindano kwenye mshipa mkuu wa damu sijui doctor ndio alinichoma sindano vibaya nimeona kuna kauvimbe kadogo kanatoka mahali nilipochomwa ile sindano ya drip.
Kwa ambaye anajua, je huo uvimbe utakuwa na madhara kwangu?
Naombeni msaada wenu tafadhali.
Asanteni