shemahenga
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 131
- 51
Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Mimi Nahisi Dawa Kubwa Ni Kuyamaliza Hayo Yanayokuuma Yaliyobakia Halafu Utaweka Meno Artificial ili Uondokane na Maumivu Yasiyo Ya Lazima.
pole sana mkuu,Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
pole sana mkuu,
umefanya vizuri kuomba ushauri kabla hayajaisha yote!
FANYA HIVI;
Nunua sabuni ya mche(zile nyeupe), kila siku asubuhi Anza kusugua meno kwa dawa ya mswaki(ile yenye dawa ya kijani,nadhani ni whitedent herbal) baada ya hapo Sugua meno kwa hiyo sabuni nyeupe ya kipande, fanya hivi kwa wiki mbili.
Matokeo, hutasikia jino likiuma wala kung'oa jino tena!
tafuta tu kati ya sabuni zile za mche nyingi huwa za Brown lakini zipo nyeupe,ndizo dawa sasa,utaziona tu.Mkuu , naomba nifahamishe vizuri hiyo sabuni ya mche ,na mimi nina majanga ya meno pia ...
Inaitwaje labda au ile ya chokaa ??
mkuu akuna sabuni wala nini, fanya hivi nenda hospital kazibe, nakumbukuka niliziba 2013, mpaka leo nakula adi nyama, kikubwa katika jino hakuna mdudu wala nini, isipokuwa ni jino lenyewe linajipekecha, ata utumie mzizi wa muarobaini jino litaisha tu, ila ukitumia njia za kitaalamu jino tilatibiwa na utasahau maumivu. nineumwa sana meno ila njia hyo umenisaidiaNi dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
mkuu akuna sabuni wala nini, fanya hivi nenda hospital kazibe, nakumbukuka niliziba 2013, mpaka leo nakula adi nyama, kikubwa katika jino hakuna mdudu wala nini, isipokuwa ni jino lenyewe linajipekecha, ata utumie mzizi wa muarobaini jino litaisha tu, ila ukitumia njia za kitaalamu jino tilatibiwa na utasahau maumivu. nineumwa sana meno ila njia hyo umenisaidia
Ahsante Sana! nitafuata ushauri wenumkuu akuna sabuni wala nini, fanya hivi nenda hospital kazibe, nakumbukuka niliziba 2013, mpaka leo nakula adi nyama, kikubwa katika jino hakuna mdudu wala nini, isipokuwa ni jino lenyewe linajipekecha, ata utumie mzizi wa muarobaini jino litaisha tu, ila ukitumia njia za kitaalamu jino tilatibiwa na utasahau maumivu. nineumwa sana meno ila njia hyo umenisaidia
mkuu akuna sabuni wala nini, fanya hivi nenda hospital kazibe, nakumbukuka niliziba 2013, mpaka leo nakula adi nyama, kikubwa katika jino hakuna mdudu wala nini, isipokuwa ni jino lenyewe linajipekecha, ata utumie mzizi wa muarobaini jino litaisha tu, ila ukitumia njia za kitaalamu jino tilatibiwa na utasahau maumivu. nineumwa sana meno ila njia hyo umenisaidia
Nyongeza:Ahsante Sana! nitafuata ushauri wenu
POLE SANA MKUU,TUMIA DAWA YA MENO!!..Ni dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
Ahsante nduguNyongeza:
Epuka soda zote na pipi, au biskuits, achana na dawa za kisasa, tumia aloe vera gel ya kukamua mwenyewe, tena tafuta miche yake uoteshe hapo kwako hata kwenye makopo kama maua, ili uwe unatumia kama dawa ya meno.
Mimi nimetumia dawa nyingi za meno, kuanzia colgate original, sensodyne aina zote, Al to Killer lakini tatizo limeendelea,
Nimeshang'oa mawili na kuziba meno kadhaa lakini naona yanaendelea kupukutika Hadi nikaamua nihame kwenda asili. Sasa yametulia baada ya kuanza kufuata kanuni za afya, kwa kuwa ninapoishi ni karibu na porini natumia aloe vera original toka porini napiga asubuhi na jioni, yaani fresh, upukutikaji na sensitivity ya meno imeisha au kupungua.
Pole sana, fuata principle tu za afya, meno yetu tunayaharibu wenyewe kwa vyakula, vinywaji na dawa za neno za kisasa.
Jiulize kwa nini matangazo ya dawa za meno yanavyoongezeka na magonjwa ya meno yanazidi?
Hizi dawa hazitibu meno zaidi ya ku brush hard layer ya jino na kuifikia enamel.
Nawashauri wale ambao hamjaanza kupata matatizo ya meno kuchukua pre caution mapema. Mimi nilijiona nina meno magumu nikawa najilia na kujinywea hovyo hadi tatizo likaniingia.
Sirudii tena narudi kwa vitu vya asili tu.
Mimi nina kupa dawa ya kumaliza matatizo yako ya meno. Unapo amka asubuhi kabla ya kula au kunywa kitu chochote nenda chooni kakinge mkojo wako kama nusu glasi kisha tia mdomoni usukutuwe kwa muda wa dakika 5 baada ya dakika 5 kupita tema huo mkojo wako.Kisha kaa kwa muda wa dakika 30 unaweza kupiga mswaki fanya hivyo kwa muda wa siku 3tu hutoumwa na meno wala kung'owa meno yako utawasikia watu wengine wa kiumwa wewe hutoumwa tena maradhi ya meno. Jaribu kisha uje unipe mrejesho wakoNi dawa gani, itanisaidia nishan'goa Sana, meno yataisha Kama kuna dawa inafahamika nisaidiwee nitanunua kwa gharama Yoyote
mkuu ni zile sabuni za kigoma, ambazo wengi hutumia kuoshea vyombo manyumbani pia zina mapovu sana au unamaanisha sabuni za B24?, hizi hua zipo kwenye mfuko mdogo zinakaa 5?.tafuta tu kati ya sabuni zile za mche nyingi huwa za Brown lakini zipo nyeupe,ndizo dawa sasa,utaziona tu.