msaada waheshimiwa namna itumikayo kuondoa kipandikizi cha kitanzi

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,920
23,246
naomba kuwasalimia na kuwatakia heri na baraka

mwaka jana mke wangu alijifungua kwa njia ya upasuaji hospitali ya serikali, kwa maelezo yake miezi mitano baadae aliniambia madaktari walimwambia tunakuwekea kitanzi kwaajili ya kuzuia upatikanaji wa mimba nyingine, na kwa vile yeye alikua amechoka na maumivu makali aliitikia kwa ishara lakini haikuwa malengo yetu kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa.

baadae kama mwezi wa saba wa kujifungua kwake alianza kupata maumivu makali kwenye tumbo, tulienda zahanati wakapima u t i na kukutwa nayo akapewa dawa likatulia.
mwezi mmoja baadae lika muanza tena kwa maumivu makali na kumpelekea kukosa nguvu miguuni tukaenda tena hosptal wakapima vidonda vya tumbo maleria damu na choo lakikni hakukutwa na kitu ila homa ya tumbo.
akapewa dawa lakini wiki mbili baadae likamuuma tena tumbo zaidi ya awali, ndipo tukadhani labda ni kile kitanzi walicho muwekea.
tukaenda tena hospitali tukaongea na dactari amuangalie kama kipo.
alipoangalia hakukiona ila akasema ana fangasi akamuandikia dawa.

wikimbi mbili tena baadae hali ikawa vile vile na kuzidi ndipo tulipopata wazo la kuangalia ultra sound na alionekana kuwa na kitu chini ya kitovu walipochunguza waliona ni kitanzi na walipojaribu kukitoa hawakukiona kwa njia ya kawaida wakashauri turudi pale alipo jifungulilia.

lakini wakati wakimuwekea hicho kitanzi hawaku mpa kadi ambayo nasikia huwa inatolewa anapopewa mtu huduma ya uzazi wa mpango.

sasa wakuu msaada wenu naomba kujua hayo maumivu ya tumbo ambayo mpaka leo yanampata chanzo ni hiko kitu walicho muwekea?

na mbona hakionekani kwa njia ya kawaida? watakitoaje?

na vile ambavyo hana hio kadi watamuelewa kweli akienda na majibu ya ultra sound?

na kwa kawaida garama zake huwa ni shilingi ngapi kutoa?
na je atakua amepata athari kwa uwepo wa hicho kitu mwilini mwake kwa muda wa miezi kumi?
niwewka na picha ya ultra sound kwa msaada zaidi wakuu

natanguliza shukrani na samahani kwa maelezo marefu lakini niko kwenye changamoto kubwa kwa hili ndio maana nikaja kuwaombeni msaada.

muwe na wakati mwema na heri njema.
 
Attachments

  • IMG_20180715_160645[1].jpg
    IMG_20180715_160645[1].jpg
    73 KB · Views: 176

Daaaaaa kitanzi kitanzi kitanzi.
Jina lake lenyewe tu ni la kujinyonga.
Na mimi mke wangu analalalamika sana maumivu.
Tuna mpango wa kwenda kutoa kabla hakijapotea.
Mpe Pole sana shem mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kuwasalimia na kuwatakia heri na baraka

mwaka jana mke wangu alijifungua kwa njia ya upasuaji hospitali ya serikali, kwa maelezo yake miezi mitano baadae aliniambia madaktari walimwambia tunakuwekea kitanzi kwaajili ya kuzuia upatikanaji wa mimba nyingine, na kwa vile yeye alikua amechoka na maumivu makali aliitikia kwa ishara lakini haikuwa malengo yetu kutumia njia za uzazi wa mpango za kisasa.

baadae kama mwezi wa saba wa kujifungua kwake alianza kupata maumivu makali kwenye tumbo, tulienda zahanati wakapima u t i na kukutwa nayo akapewa dawa likatulia.
mwezi mmoja baadae lika muanza tena kwa maumivu makali na kumpelekea kukosa nguvu miguuni tukaenda tena hosptal wakapima vidonda vya tumbo maleria damu na choo lakikni hakukutwa na kitu ila homa ya tumbo.
akapewa dawa lakini wiki mbili baadae likamuuma tena tumbo zaidi ya awali, ndipo tukadhani labda ni kile kitanzi walicho muwekea.
tukaenda tena hospitali tukaongea na dactari amuangalie kama kipo.
alipoangalia hakukiona ila akasema ana fangasi akamuandikia dawa.

wikimbi mbili tena baadae hali ikawa vile vile na kuzidi ndipo tulipopata wazo la kuangalia ultra sound na alionekana kuwa na kitu chini ya kitovu walipochunguza waliona ni kitanzi na walipojaribu kukitoa hawakukiona kwa njia ya kawaida wakashauri turudi pale alipo jifungulilia.

lakini wakati wakimuwekea hicho kitanzi hawaku mpa kadi ambayo nasikia huwa inatolewa anapopewa mtu huduma ya uzazi wa mpango.

sasa wakuu msaada wenu naomba kujua hayo maumivu ya tumbo ambayo mpaka leo yanampata chanzo ni hiko kitu walicho muwekea?

na mbona hakionekani kwa njia ya kawaida? watakitoaje?

na vile ambavyo hana hio kadi watamuelewa kweli akienda na majibu ya ultra sound?

na kwa kawaida garama zake huwa ni shilingi ngapi kutoa?
na je atakua amepata athari kwa uwepo wa hicho kitu mwilini mwake kwa muda wa miezi kumi?
niwewka na picha ya ultra sound kwa msaada zaidi wakuu

natanguliza shukrani na samahani kwa maelezo marefu lakini niko kwenye changamoto kubwa kwa hili ndio maana nikaja kuwaombeni msaada.

muwe na wakati mwema na heri njema.
Mpeleke muhimbili au hata private hospitals. Anaweza akahitaji hysteroscopy kuweza kukilocate hicho kitanzi na kukitoa. Gharama nisikudanganye, sijui
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom