rodian
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 246
- 323
Habari wakuu.
Ni muda mrefu sasa tatizo hili (headache) linanisumbu, yaani huwa kinaniuma sana hasa nikitembea kipindi cha jua likiwa normal au kali. Ukizingatia na Dar yetu kipindi hichi cha jua kali yaani kila siku kichwa kinanisumbua sometimes hata nikimeza Panadol huwa sisikii nafuu labda nilale au nisitoke kabisa nje.
Nitafurahi nikipata msaada kwa tatizo hili.
Thanks.