Tarehe ya kujifungua

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
588
Napenda kujua nini hutokea pale ambapo mwanamke hukadiriwa kuwa atajifungua tarehe fulani kulingana na uhalisia halisi wa siku ya mwisho kuingia MP, lakini siku ikifika inakuwa tofauti (hajifungui).
 
Napenda kujua nini hutokea pale ambapo mwanamke hukadiriwa kuwa atajifungua tarehe Fulani kulingana na uhalisia halisi wa siku ya mwisho kuingia mp,lakini siku ikifika inakuwa tofauti(hajifungui)
Atasubiri tu uchungu kama kila kitu kipo sawa
 
Mara nyingi huwa anakua amekosea siku yake ya kwanza kuingia mwezini ..au la mtoto anakua bado hajakomaa mapafu!
Na mengineyo..hasa hasa afya yake kwa ujumla!
 
Napenda kujua nini hutokea pale ambapo mwanamke hukadiriwa kuwa atajifungua tarehe fulani kulingana na uhalisia halisi wa siku ya mwisho kuingia MP, lakini siku ikifika inakuwa tofauti (hajifungui).

Hiyo tarehe huwa ni tarehe ya makadirio kulingana na umri wa mimba na haipo written in stone. Uchungu unaweza ukaanza kabla au baada ya tarehe pale ambapo kichwa cha mtoto kitagonga hodi kwenye mlango wa uzazi akiwa tayari kutoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom