Hebu Jaribu Hapo Hospital Ya Mkoa Kuna Duka Binafsi La Dawa Kwa PembeniSijaenda kuuliza phamacy nimehisi haziwezi kupatikana manake ni herbal. Nipo Moro town
Nilitumia powder yake, vidonge nenda kwa kwa watu wa GNLD ambao sasa ni neolife herbal wana product inaitwa feminine herbal imewekwa hiyo vitex ndani yake