Zungu cheu
Member
- Jan 11, 2019
- 6
- 0
Nina maumivu makali ya misuli shingo kukakamaa na mabegani mpaka saivi maumivi yamesambaa mpaka mikononi na mgongoni maumivi makali nina zaid ya miezi mi3 msaada jamani nishafanya vipimo vingi na exray nshapiga sijui ni tatizo gani hili mpaka saivi nimekata tamaa kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app