Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habarini wadau? nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na chango la uzazi. madaktari wamemwambia dawa pekee ni kuzaa. je,kwa wazoefu wa maswala ya kiafya,ni kweli kuwa hakuna dawa yoyote hata...
1 Reactions
9 Replies
69K Views
Nimekuwa nikipata maelezo meengi kuhusiana na hizi bidhaa za GNLD na Forever living Products (FLP). Hasa za forever, jamaa wako mahiri sana katika kuelezea faida utakazo zipata pindi utakapo...
4 Reactions
75 Replies
73K Views
Wengi wetu hupumua bila tatizo hivyo hatuwazi namna mfumo mzima wa upumuaji unavyofanya kazi katika miili yetu na umuhimu wake. Hata hivyo, watu wenye ugonjwa wa pumu huhitaji kufuatilia kwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana JF. Nilikuwa naomba msaada wa ushauri na tiba ya maumivu ya kiuno. Kama mwezi sasa napata maumivu ya kiuno ila sijajua chanzo chake nini. Nakaribisha ushauri wenu,,Asante. Sent...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Madaktari wa JF habari zenu? Naomba msada wa Hili. Katoto kangu ka miaka 5 kanaumwa tumbo tangia juzi juma pili jioni. Alianza kulalamika tumbo linamuuma hadi kulia halafu akawa ana joto kali...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Nina mwanangu ana umri wa miaka 2 sasa. Hawezi kukaza kichwa wala hajaweza kukaa. Nimeenda hospitali hadi leo ni mazoezi tu tatizo hasa sijalijua. Naombeni mwenye kuelewa anieleweshe nitashukuru...
1 Reactions
79 Replies
8K Views
Doctor tatizo la kubanwa na haja kubwa kila muda ni ugonjwa au ni tatizo gani na tiba yake ni ipi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello guys Jamani nina shida jamani mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga na miguu. X-ray inaonyesha kwamba mifupa ya nyonga imepekecha jamani imefika hatua now anashindwa kabisa kutembea...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa samahani, hivi inapotokea mtu umening'ata mdomo, ni dawa gani inasaidia kuponya vidonda hivyo kwa haraka? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
29 Replies
15K Views
Habarini wana JF naimani mko powa sana. Me ni trainer pia Physiotherapist na deal mazoezi kwa ujumla na nutrion na dietitian mzuri tu kwa ushauri wa kupunguza weight na kugain weight pia Nimeona...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wacha leo niseme juu ya hii kitu 1. Kwanza ni nini? Jina lake ni utoko kwa Kiswahili sanifu kabisa, tofauti na wengi hasa waislam (samahani lakini ni kuelimishana tu maana wengine mtapanic hapa...
14 Reactions
114 Replies
31K Views
Waungwana wote naomba kama kuna anayefahamu dawa ya kutibu mtoto wa jicho anisaidie jinsi ya kuipata. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wanaJF, naomba msaada wenu wa mawazo nimetokewa na vipele mwilini ambavyo vinawasha sana. Vilipoanza kujitokeza nilijua ni fungus so nilitumia dawa ya kupaka ya fungus lakini bado...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa habari za saa hizi.. Nina mimba ya wiki sita naona matone ya damu kama brown. Nimeambiwa na doctor nitumie Duphastone na nipumzike siku saba, je itasaidia? Na kuna mtu alishawahi kupata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijawahi kukosa muafaka JF. Ndio maarifa yamebakia kupata bure kwa watu wema. Nina tatzo la meno kutoa damu kwenye fizi kwa muda mrefu sasa. Kiasi huwa nalazimika kuweka dawa kwa awamu mbili ndio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
NImehangaika kutafuta mtoto mimi na mwenzangu kwa muda wa miezi kumi lakini bilabila japo mwenzangu nilikutana naye tayari akiwa na mtoto. Nimefanya sperm analysis majibu ni kama ifuatavyo÷...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu hongereni kwa mishughuliko ya hapa na pale.wakuu ! Mi nahitaji kujuzwa kuhusiana na hatua za ukuaji wa mimba hasa ni lini mtoto huanza kucheza tumboni.Kama kuna post yoyote inoyo jibu jambo...
2 Reactions
21 Replies
165K Views
ilikuwa Pnemonia ndio ilikuwa inasababisha kukohoa kidogo kutokana na kubana kwa pumzi lakini nilipoitibu sikohoi tena na nmeanza dozi ya TB. Hivi kuna uwezekano wa kuwa na TB halafu usipate...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Naomba msaada mtoto wangu ametokewa na jipu kichwani nini naweza kufanya kumsaidia tofauti na kumpeleka hospitali maana sipo vizuri kifedha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimepatwa na tatizo la kuwa na maumivu au tuseme kitu kama uchovu fulani hivi katikati ya tumbo na kifua. Mara nyingi hali hii inanitokea wakati wa mchana ninapopumzika katika shughuli zangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…