Fideliiiz
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 632
- 407
Doctor tatizo la kubanwa na haja kubwa kila muda ni ugonjwa au ni tatizo gani na tiba yake ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaNenda hospital ukafanyiwe check up kwa sababu ili utibiwe kuna v2 vitatu vya kuzingatia
1.History
2.physical examination
3.Laboratory investigation
Nje na hapo ukitaka tukuambie tatz kwa maelezo haya mafupi itakuwa ni vigumu kupewa tiba sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaenda hospitalDoctor tatizo la kubanwa na haja kubwa kila muda ni ugonjwa au ni tatizo gani na tiba yake ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mda kivipi? Kila baada ya dakika 5? Au kwa masaa 12 mara ngapi? Ni kuharisha au choo cha kawaida? Tumbo linauma unapobanwa na haja au linauma wakati wote?Doctor tatizo la kubanwa na haja kubwa kila muda ni ugonjwa au ni tatizo gani na tiba yake ni ipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila baada ya masaa kadhaa na ni Choo cha kawaida Tu wala c kuharishaKila mda kivipi? Kila baada ya dakika 5? Au kwa masaa 12 mara ngapi? Ni kuharisha au choo cha kawaida? Tumbo linauma unapobanwa na haja au linauma wakati wote?