Breki ya Kenge
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 715
- 1,007
Habari wanaJF, naomba msaada wenu wa mawazo nimetokewa na vipele mwilini ambavyo vinawasha sana. Vilipoanza kujitokeza nilijua ni fungus so nilitumia dawa ya kupaka ya fungus lakini bado viliendelea kujitokeza.
Kwa sasa natumia sabuni ya dawa ya kuogea lakini bado hakuna nafuu. Nimeattach na picha ya sehemu ya tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa natumia sabuni ya dawa ya kuogea lakini bado hakuna nafuu. Nimeattach na picha ya sehemu ya tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app