Shunula
Member
- Mar 9, 2013
- 72
- 15
Wakuu hongereni kwa mishughuliko ya hapa na pale.wakuu ! Mi nahitaji kujuzwa kuhusiana na hatua za ukuaji wa mimba hasa ni lini mtoto huanza kucheza tumboni.Kama kuna post yoyote inoyo jibu jambo hili naomba kuunganishwa.Nina hamu sana kujuzwa jambo hili hasa ukizingatia shemeji/wifi yenu ni mjamzito,wakuu naomba kuwasilisha.