Mimba yangu inatishia kutoka

maricela

New Member
Oct 12, 2019
3
1
Wapendwa habari za saa hizi..

Nina mimba ya wiki sita naona matone ya damu kama brown. Nimeambiwa na doctor nitumie Duphastone na nipumzike siku saba, je itasaidia?

Na kuna mtu alishawahi kupata hali kama yangu akafanyaje akazuia hii hali?

Nishaurini mwenzenu nalia tu hapa nilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maricela,
Hiyo ni threatened abortion. Matibabu yake ndio hayo bed rest na progestins kama alizokuandikia daktari wako +/- tocolytics

Punguza wasiwasi, mambo yataenda sawa
 
Usilie Maricela.
Utazidi kujipa usumbufu usio wa lazima.
Kila kitu kitakuwa sawa dear, pumzika , tumia dawa na usali pia.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom