Njoo tukate kitambi na kupunguza uzito bila dawa

painboy

Senior Member
Dec 27, 2019
110
51
Habarini wana JF naimani mko powa sana.

Me ni trainer pia Physiotherapist na deal mazoezi kwa ujumla na nutrion na dietitian mzuri tu kwa ushauri wa kupunguza weight na kugain weight pia

Nimeona sio vibaya kuwashirikisha katika hili janga la kupunguza uzito ambalo kwa sasa linawatesa wengi na hawajui pa kuanzia kutokana na lifestyle iliyopo

Na magonjwa mengi saivi yanatokana na lifetyle na utandawazi wa nje ambao umetuhadhiri utamaduni wetu wa vyakula na kutuletea shida kubwa ya watu wengi kuwa na obesity (uzito uliozidi) kwan kilo uendana na urefu wa mtu tunapata BMI.

Kwa upande wangu ili kuwaongoza watu na kuwasaidia nimeona nitengeneze baadhi ya miongozo ya program za mazoez na diet ambazo ni rahisi tu na zitakupa matokeo makubwa na kwa haraka zaidi bila hata ya gym kwani diet ni 80% na mazoezi 20%

Hasa kwa wale ambao wanataka kuongeza shape ,kukata tumbo, kupata six pack,kuongeza hamu ya tendo,n.k

Kwahiyo kama unataka baadhi ya miongozo yangu nicheki .
Instagram painboy
Whattup@ 0625835225
***** ASANTENI*******

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah!! Hivyo haiwezekani ukatupa mbinu za kukatia hivyo vitambi hapa jf mpaka tukufuate huko Insta na Whatsapp?
Ntatoa uzi wa muongozo ila insta kuna makala zitapatzo 100 nimeongelea kuhusu kupunguza uzito coz unaweza ukaanzia uko then nikiandaa makala ya kuandika hapa JF usijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom