Dawa bora ya meno na ukweli juu ya Fluoride

Dawa bora ya meno na ukweli juu ya Fluoride

Tobito

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,313
Reaction score
4,173
Sijawahi kukosa muafaka JF. Ndio maarifa yamebakia kupata bure kwa watu wema.

Nina tatzo la meno kutoa damu kwenye fizi kwa muda mrefu sasa. Kiasi huwa nalazimika kuweka dawa kwa awamu mbili ndio natoa povu lililo safi.

Kila nikibadili dawa ya meno sioni mabadiliko. Katika soma soma nimekutana na makala kuwa Fluoride ni hatari sana kwa meno yetu.

Mimi manne nilishang'oa na yaliyobaki hayana ushirikiano. Yanauma kama yanaelekea kufa mazima. Je dawa ya kumaliza matatizo yangu ni ipi?
 
Tiba nzuri kwa ajili ya meno na using'oe tena jitahidi Sana ule vitu vyenye calcium kwa wingi,punguza matumizi ya sukari ,piga mswaki Mara kwa mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom