Naumwa na kichwa siku ya nne leo yaani hakisikii dawa kinanitesa sana. Nikilala kinatulia nikiamka kinavuta sana sijui tatizo nini.
Kesho nitaenda hospitali.
Habarin za mida polen na majukumu nilikuwa napenda kujua kuna demu ametoa mimba alipewa kidonge kimoja cha kutoa na kingne akaanbiwa inabidi akiweke huku chin.Ila hakubahatika kukiweka ila leo...
Watu wengi tumekuwa hatutumii bamia either kwa ladha yake au tu kasumba ya kuona bamia ni MBOGA ya walalahoi !
Leo naomba ufahamu bamia kama moja ya mboga za majani ndio MBOGA yenye uwezo wa...
CORONA VIRUS ni virusi vinavyotokea kwenye familia iitwayo Coronaviridae, na vimepewa jina hilo kutokana na muonekano wake wa "Crown-like projection" chini ya light microscope.
Virusi hivi...
Umofia kwenu wakuu!
Hivi unaweza share experience yako baada ya mwanao kuzaliwa na siku kadhaa akadondoka kitovu ulifanyaje? Ulimpa Mzazi wako hicho kitovu au ulikiteketeza mwenyewe na mkeo/...
Kwanini jinamizi linatokea ukiwa umelala na ni nini dawa yake?
===========
Nadharia:
Jinamizi kwa kiingereza Nightmare ama waweza sema ndoto zisizo za kawaida kama vile za kutisha na...
Dunia itahitaji ongezeko la wauguzi na wakunga milioni 9 ili kutimiza ahadi ya kutoa huduma za afya kwa wote ifikapo mwaka 2030. Haya yamethibitishwa na Shirika Afya ulimwenguni WHO
WHO na wadau...
Habarini wanaJF
Mjamzito wa mwezi mmoja, hali ya kuumwa tumbo kama kichomi alafu kinakata na papuchi kuvuta fulani hivi ni kawaida kwa miezi ya mwanzoni?
Na nikila nikashiba kitumbo kinajaa kama...
Nahitaji msaada, ni siku nyingi zilikuwa zimepita bila kufanya mapenzi na mwanamke yoyote ila hivi karibuni nilikutana na binti ambaye nilianza mahusiano naye.
Ni muda hajawa na mtu hivyo...
Wadau wa JamiiForums,
Kwa anayejua tafadhali mmea huu wa Muarobani. Nimepata taarifa kuwa unatibu magonjwa mengi sana, naomba anijuze na kinachotumiwa ni nini; Mzizi, Majani au Gamba lake?
Habarini za weekend hii?
Tatizo langu ninaloliwasilisha hapa ni juu ya mtoto wangu kuwa mzito kuzungumza au kushindwa kunyoosha sentensi vizuri ili aeleweke kama ilivyo kwa watoto wengine.
Kwa...
Lets say siku za hatari unaanza tarehe 24 December, then tarehe 23 usiku ukasex tarehe 24 mchana ukanywa P2 mbili na Fragile 2, January ukapima mimba ipo.
Hii ikoje wataalamu?
Na je mtoto...
Habari za asubuhi wanaJF,
Jamani naomba ushauri wenu was mawazo kwa anayejua hata dawa ikiwezekana. Sikio langu la kushoto linanguruma na kutoa milio tofauti kama magari hivi.
Jamani nakosa raha...
Hi! Guyz,habari ya jumapili wapendwa,
Natumai wote ni wazima wa afya.
Kuna kitu cha tofauti kmetokea kwa my shkiki, i mean mpenzi wa mimi, naomba nielezee tatizo lenyewe.Ni kwamba kawaida...
Habari zenu wandugu,
Direct to the point. Mimi ni mgonjwa wa heartburn/ gerd kwa jina lingine ambayo imeshakuwa sugu. Kiukweli nasumbuliwa sana ni muda sasa wa miaka takriban 6 hivi nimejaribu...
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia...