Ulifanyaje baada ya mwanao kuanguka kitovu?

mjusilizard

JF-Expert Member
Nov 7, 2019
923
1,585
Umofia kwenu wakuu!

Hivi unaweza share experience yako baada ya mwanao kuzaliwa na siku kadhaa akadondoka kitovu ulifanyaje? Ulimpa Mzazi wako hicho kitovu au ulikiteketeza mwenyewe na mkeo/ mumeo?

Nimekuwa nikjiuliza hili swali sana na kushindwa kupata majibu, nini ni vyema kikafanyika kwa ushauri wako?
 
Kwa imani za shirki wanadai kuwa kinatakiwa kitunzwe ama kiihifadhiwe. Lakini kiuhalisia ile ni ngozi ambayo thamani yake ni sawa na nywele ama kucha zilizokatwa tu. Vyovyote utakavyofanya hakuna chochote kitakachotokea. Ila ili kuridhisha nafsi yako, waulize watu wazima wa kwenu ukifanye nini.
 
Back
Top Bottom