Hili la kupata mimba pamoja na kufanya juhudi hizi kuizuia limekaaje?

Pisi kali

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,215
2,418
Lets say siku za hatari unaanza tarehe 24 December, then tarehe 23 usiku ukasex tarehe 24 mchana ukanywa P2 mbili na Fragile 2, January ukapima mimba ipo.

Hii ikoje wataalamu?

Na je mtoto atakuwa hana tatizo?

P2 na Fragile si ni dawa kali sana hadi zinatoa mimba imekuaje mimba ikatungwa?

NB: Negative comments hazitakiwi
 
Let say siku za hatari unaanza tar24 December, then tar23 usiku ukasex tar24 mchana ukanywa p2 mbili na fragile 2, January ukapima mimba ipo

Hii ikoje wataalamu?

Na je mtoto atakua hana tatizo?

P2 na fragile si ni dawa kali sana hadi zinatoa mimba imekuaje mimba ikatungwa?

Nb: negative comments hazitakiwi
Mbegu zinauwezo wa kukaa masaa 72 kusubiri mimba kutunga

Ila Acha zinaa ni dhambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante

Ila si wanasemaga ukifanya unsafe sex ukinywa p2 ndani ya masaa24 zina fanya kazi
Zinafanya kazi lakini tayari yako ilikua imeshatungwa
Kumbuka ovulation hua ni almost 12-24 hrs kwa hiyo inawezekana once you had sex tayari masaa yalishaanza hesabika na yai likarutubishwa kwa hiyo p2 hazikua na kazi tena
Unless niwe sijaelewa maelezo yako
 
Kuna watu mna vizazi vya voda fasta. Anyway kama unataka kuitunza hiyo mimba nenda kapige ultra sound mara nyingi ukitumia p2 mimba inaweza ikatungwa nje ya mfuko wa uzazi (fallopian tube). Kama hutaki kuitunza hiyo mimba tafuta misoprostol ila hakikisha unaenda hospitali kusafishwa usije kupata matatizo baadae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinafanya kazi lakini tayari yako ilikua imeshatungwa
Kumbuka ovulation hua ni almost 12-24 hrs kwa hiyo inawezekana once you had sex tayari masaa yalishaanza hesabika na yai likarutubishwa kwa hiyo p2 hazikua na kazi tena
Unless niwe sijaelewa maelezo yako
Jamani mimba haitungwi right after sex. Sperm zinachukua almost 24hrs kufikia yai ili kufanya fertilization. Sema p2 ni kama kubet sometimes haifanyi kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom