Naombeni msaada wenu kwa tatizo la masikio

Faithful girl

Member
Feb 2, 2016
55
18
Habari za asubuhi wanaJF,

Jamani naomba ushauri wenu was mawazo kwa anayejua hata dawa ikiwezekana. Sikio langu la kushoto linanguruma na kutoa milio tofauti kama magari hivi.

Jamani nakosa raha kwa ajili ya shida hii.
 
Back
Top Bottom