chung cho
Senior Member
- Mar 16, 2014
- 191
- 42
Nahitaji msaada, ni siku nyingi zilikuwa zimepita bila kufanya mapenzi na mwanamke yoyote ila hivi karibuni nilikutana na binti ambaye nilianza mahusiano naye.
Ni muda hajawa na mtu hivyo tulitumia kinga then baadae tuliacha kutumia kinga na kufanya tendo bila kinga kama watu tunaoaminiana takribani wiki mbili zilizopita.
Baada ya hapo nilianza kuhisi maumivu makali saa ya kukojoa na kama mishipa ya uume inavuta then nikaanza kuona kitu kama maziwa vinatoka kwenye uume wangu sehemu mkojo unapotokea.
Hivyo mpaka sasa siku nne zimepita nikivaa chupi safi baada ya muda mfupi maumivu naendelea kuyahisi kwenye mshipa unaopitishia mkojo na sperm na usaa unatoka unaweka mabaka kwenye chupi yangu.
So nafanya kazi ya kufua chupi mara kwa mara.
Naombeni ushauri wenu wale mlio madaktari huu ni ugonjwa wa aina gani na nifanyeje?
Asanteni