nkonges100
Member
- Sep 27, 2015
- 12
- 2
Habarini za mida, naomba kuuliza maumivu ya tumbo huchukua muda gani baada ya kusafishwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kusafishwa huishia hapo hapo unless umepata infectionHabarin za mida... naomba kuuliza maumivu ya tumbo huchukua muda gan baada ya kusafishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Damu ikikataKitaalam aliyeharibu mimba hutakiwa kukaa muda gani bila kufanya sex?
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kusafishwa huishia hapo hapo unless umepata infection
Unasafishwa kutoa uchafu uliobaki tumboni hiyo ndiyo tiba
Unasafishwa kutoa uchafu uliobaki tumboni hiyo ndiyo tiba
Emu nenda Hosp