Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mume wangu analalamika anawashwa kwenye uume ila tumesex sana kavu ila mimi sijaambukizwa na nina miezi miwili tangu nisex naye sina dalili zozote na anasema ni tatizo la muda mrefu atakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Mimi naomba kujua jinsi ya kufanya kitovu cha mtoto mchanga kidondoke haraka, na je, kuna tatizo kikigusa maji?
0 Reactions
13 Replies
31K Views
Mwanamke akiwa mjamzito huwa kuna tarehe ya matarajio ya kujifungua. Je, mtu akipitiliza huwa ni ni tatizo au sio tatizo,kama sio tatizo huwa anaweza pitiliza au wahi kujifungua kwa siku ngapi...
0 Reactions
10 Replies
21K Views
Habari za mda huu wadau, [emoji117] Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanandoa wao wakiwaita hawawezi kitu baada ya kumwaga "ejaculation" wakidhani wanamapungufu, kumbe...
5 Reactions
15 Replies
9K Views
Shambulizi La Moyo (Heart Attack) Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Shinikizo la damu Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu, Naombeni msaada wa haraka! Bado nipo hospitali ila ningependa kujua ili nibadili hospitali ikiwezekana. Ni siku tatu sasa toka mtoto azaliwe lakini anashindwa kunyonya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kila mtu anafahamu makengeza. Mtu kuwa na makengeza anatafsiriwa kama mgonjwa au ana kilema ? Ukiwa na makengeza unaona kawaida au kuna changamoto yoyote ? Nini hasara ya kuwa na makengeza...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari wanajamvi, Kwa muda sasa nimekuwa na tatizo la kukosa usingizi nimejaribu kuonana na baadhi ya matabibu wa afya ya akili akiwemo prof Ndosi nilipata matibabu. Baada ya matumizi ya dawa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
1.Kuvuta sigara Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo...
4 Reactions
17 Replies
7K Views
Mwanaume kuwahi kumaliza anapofanya tendo la kujamiiana Kutoka mbegu za kiume muda mfupi baada ya kumwingilia mwanamke huitwapremature ejaculation. Huu ni udhaifu wa kawaida kwa wanaume walio...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
  • Closed
Ushauri wadau jana nimefanya mapenzi na Dada mmoja kiukweli amenizidi umri miaka kama 12 hivi na ni mjane. Shida imekuja kondom ilivuka kipindi tunafanya na toka jana haijatoka nilijaribu kwa...
1 Reactions
46 Replies
14K Views
Habari mabwana, nina machache kuhusu mwili wangu hususani kwenye joto 1. Nikiwa maeneo ya joto la juu kiasi navuja jasho sana kiasi cha kubadili nguo za ndani hadi kutwa mara tatu. 2. Jasho...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa la Madaktari. Napenda kufahamu gharama za kufanyiwa huduma tajwa hapo juu sababu jino langu lilizibwa hivi karibuni so nahitaji huduma hiyo maana nimeanza kusikia maumivu...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hello JF, Bado naendelea kutafuta mambo ya vichaa/wenye matatizo ya akili na ndugu zao Leo ningependa kujua kutoka kwa wanajamii wote au watu specific waliowahi kuuguza mtu mwenye kichaa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Nipo/ tupo katika kipindi kigumu sana kama familia, dada yetu aligundulika kuwa saratani ya Ini, damu na titi. Vyote hivyo vipo katika stage ya mwisho na mbaya sana na Madaktari...
11 Reactions
55 Replies
8K Views
Summary Background Antiretroviral therapy (ART) cannot cure HIV infection because of a persistent reservoir of latently infected cells. Approaches that force HIV transcription from these cells...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, Straight to the point tangu jana nilikua napata maumivu makali sana kwenye maeneo yashingo/ bega la kushoto. Nilihisi labda pengine nililala vibaya nikaamini maumivu yatakata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi haya huusisha...
4 Reactions
2 Replies
6K Views
Habarini madaktari wa Jf na wanajamii wote kwa ujumla? Kuna kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu na ninafikiri hapa ninaweza nikapata elimu. Katika pitapita zangu za mitandanoni...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Back
Top Bottom