Hamjambo mwa jf Mimi imeto kea kusumbuliea na kichwa mwezi was tatu sasa hasa has a sahemu ya utosini na moshipa ya damu huvimba na kuvita.hujisikia wakat mwenginr uchovu kizunguzungu na mafua...
Habar zenu, km mada inavyosema mm mama k week 28, nimeenda kuchek ultrasound kwa ajl ya kujua mimba ina miez mingap exactly kwan nilikuwa nachanganya tarehe ya mwisho Wa mzunguko, cha ajab...
Baada ya kupima na kuonekana kuwa nina malaria Daktari aliniandikia dawa aina ya MSETO. Siku ya pili baada ya kuanza kutumia dawa hizi nimepatwa na hali ya kuharisha choo cheusi.
Hii hali...
Wadau msaada tafadhali, nimepekua kwenye mkoba wa wife bila yeye kujua nimekutana na dawa inayoitwa Cefixime. Je hii inatibu ugonjwa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za usiku huu wakubwa,
Bila shaka humu tunao madaktari wetu wazuri tu. Sasa ni hivi, Nina tatizo la kupata maumivu upande wa kulia mwa tumbo chini ya kitovu.
Au kwa maelezo mengine ni...
Jaman msaada tafadhali nilitoka na mschana wa babashop
Kesho yake nikahisi kama kunavitu mwilini baaada ya Siku tatu nikawa nasikia maumivu kama kunasindano mwilini, hali imeenda kuwa mbaya...
Trending news kwa sasa hivi Dunia nzima ni Corona yenye chimbuko lake huko China Jimboni Wuhan, tangu December mwaka jana.
Tangu kipindi hiki Wachina wamekuwa wakitembelea maeneo mengi ya Afrika...
Habari mtaalamu,
Mimi ninatatizo moja hivi yani nikipulizwa na upepo mkali kama feni au bodaboda au nikilala usiku baridi liwe Kali nakohoa sana ila nikizima feni au nikijifunika blanketi natulia...
Hello wanabodi!
Nimeona nianzishe uzi wa kuhamasisha wanaJF kufika vituo vya afya kwa ajili ya kupata chanjo ya Homa ya Ini ambayo ni hatari kuliko hata baadhi ya maradhi. Ikumbukwe Homa ya Ini...
Wakuu habari za pasaka,naomba msaada wa jinsi ya kufanya mazoezi ya (Kegel )kwa wanaume anayefahamu naomba kujifunza kwake naomba kuwasilisha Gnaiti asante.
Habari wana jamii wenzangu,
Naomba kujua juu ya tetesi hizi ninazozisikia sana mitaani kuwa wale ambao wanakuwa na Group O katika makundi ya damu huwa hawana risk ya kubwa ya kupata magonjwa hasa...
Habarini.
Nimefanya utafiti wangu wa siri na nimegundua kuwa magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya kujamiiana al maarufu Sexual Transmitted Diseases (STD's) yameshika hatamu sana.
Nazungumzia UTI...
MADHARA YA ZINAA KISAYANSI.
Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa
nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati
kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana
baina ya hawara na hawara mambo...
Zipo stori nyingi mtaani kuhusu sababu ambazo hupelekea mama mjamzito kujifungua kwa oparesheni wengi hua hawafahamu ni kwa nini mwingine ajifungue kwa kawaida na mwingine ajifungue kwa...
habari wana jamvi kama ww ni mtaalamu wa mitishamba kwa ajili ya ugonjwa wa ugumba kwa wanawake ama una mfahamu mtaalamu wa mitishamba mwenye utaalamu huo tafadhali wasiliana na mimi 0759212578...
WanaJF, Salaam!
Kwa kipindi kirefu nimekutana na wengi ambao wameolewa au kuoa lakini hawakujaliwa kupata watoto sababu za kiafya. Nimekuwa nikitoa matibabu kwa njia ambazo si za kutangaza na...
Habari zenu wakuu, matumaini mnaendelea vyema.
Hivi inakuaje mtu akitoka kuoga huwa anawashwa? Majua mtasema maji au sabuni lakini HAPANA. Unakuta mtu kama hatoga kwa siku 3 au 2 akija kuoga...
Autism
Autism ni tatizo la kiroho na kihisia linalotokea kwa watu tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine. Watu wenye matatizo ya autism hawaonekani kama watu wa...
Haya mambo kwa vijana tulio wengi hatuyajui. Bila shaka bado mnaikumbuka ile post yangu kuhusu shemeji yenu muda kama wa mwezi mmoja sasa umepita.
Nisaidieni jaman ni muda gani unafaa kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.