Kushindwa kusimamisha uume/ Kuendelea na tendo baada ya kufika kileleni sio ugonjwa/ mapungufu! Soma hapa kujua zaidi

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Habari za mda huu wadau,
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanandoa wao wakiwaita hawawezi kitu baada ya kumwaga "ejaculation" wakidhani wanamapungufu, kumbe la hio ni mfumo wa kawaida wa kifiziolojia katika mwili wa binadamu.

'REFRACTORY PERIOD' NI NINI?
•Hiki ni kipindi ambacho HAIWEZEKANI kwa mwanaume kupata mshindo 'orgasm' au kuendelea na tendo la ndoa.

INASABABISHWA NA NINI?
°Kipindi hiki kinsababishwa na kutolewa kwa hormone mbili katika mwili wakati wa kufika kileleni 'orgasm' ambazo ni;

1.Oxytocin-Kutoka kwa hormone hii kunampelekea mwanaume kisaikolojia kuridhika na kukosa hamu ya tendo la ndoa.

2.Prolactin-Hormone hii huzuia kichocheo kingine kinachoitwa dopamine ambacho kinahusika na kuamsha hisia za kufanya tendo hilo.

KIPINDI HIKI "REFRACTORY PERIOD" KINADUMU KWA MUDA GANI?
•Kipindi hiki kina dumu kwa muda kati ya dakika chache mpaka siku kadhaa.

Inategemeana na maumbile ya mtu kuna ambao baada ya kmwaga "ejaculation"/Kufika kilele wanapumzika dakika kadhaa na kurudi kwenye tendo na kuna wale ambao inawachukua siku moja au zaidi kupata tena hisia na uwezo wa kurudia tena tendo hilo.

HATARI UNAYOWEZA KUPATA UKITUMIA DAWA ZA KUONDOSHA REFRACTORY PERIOD;
•Watu wengi wamekua wakitumia dawa kama Carbegoline ambazo zimekatazwa kuzia kipindi hiki kwa kuzuia ufanyaji kazi wa hormone ya Prolactin

JE WANAWAKE HUPATA KIPINDI HIKI?
•Asilimia kubwa ya tafiti zinaonyesha wanawake wamekosa kipindi hiki hivyo wao huweza kwenda kileleni zaidi ya mara moja bila mapumziko as long as wana pumzi.

USHAURI:
•Enyi wanawake mkiwaona wenza wenu wako katika hali hii msiwalalamikie na kudhani kuwa wanamapungufu, Unachotakiwa kufanya ni kifanya vitu vitakavyorudisha hisia zake haraka na kufupisha kipindi hiki. Ndio maana unasikia wanawake watundu hawaachwi. Usisubiri mwanaume wako aanzishe game kila muda, mchango wako unahitajika baada ya kufila kileleni.

Pia dawa nyingi za kienyeji zimekua zikifanya kazi kwa kuingilia mfumo huu wa hormone kama ilivyo Carbegoline ambazo pia sio salama.

Dawa hizi zote zinahatari ya kusababishia utegemezi,kwa kushindwa kufanya tendo hilo mpaka uzitumie.

By Luqman Mohamedy
 
Nimekuunga mkono ulipowaambia wanawake wasitoke mbio kwenda kuwalalamikia wanawake wenzao kuwa yule hawezi kitu. Kazi ni kutekenya tu akiwaacha wengi wakiwa na uchu.

Wanawake, mna sehemu kubwa sana kuwafanya wanaume wazidishe mchezo kamili. Unakuta mwanamke anajisunya umemwaga mapema. Anaanza lawama, Ooh! Si ungevutavuta kidogo. Mtu nimekufuatilia na kukufukuzia mwezi, leo nimekupata kimasihara halafu utegemee nitamaliza saa nzima?

Dakika 10 ni nyingi. Sasa wewe nawe fanya kazi ya ziada unirudishe nilikoenda. Saa nyingine sikukiona nilichokuwa nakiwazia kwako humo. Hivyo inabidi nijifosi tuu na kama ni hivyo goli la pili mbona kazi?

Usipojitahidi kunirudisha nadhani nitakuwa nishafika Chalinze nikikimbilia Moro. Wamama jipeni mautundu na maneno mazuri ya sifa uongo ghafla mnara utasoma 4G. Hili la pili ndio tegemea masaa mpaka unalia Pooo
 
Ukimuzoea mwanamke ni ngumu sana kuunganisha bao la 1 na bao la 2 but ukipata mwanamke mwingine mpya itakuchukua dakika 1 tu kupumzika baada ya bao la kwanza kisha utaunganisha bao la 2.

Hii yote ni mchezo wa hisia!.
 
Kumbe wadada nao hudondosha mshindo kama wakaka lakini mbona tukiwa tunatembea njiani hatuitwi kama nao wanapenda
 
Back
Top Bottom